Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

Nakiri kuwa CCM na hata Mwenyekiti wake ( Rais JPM ) wanaweza kuwa na Changamoto zao ila sikubaliani kabisa na Hoja yako hii ya Kipuuzi mno.
 
Haswaa hapo wana ccm tutakuwa tumepewa haki yetu na Membe atapitishwa asubuhi tu
Kabisa Mkuu, Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
 
Nakiri kuwa CCM na hata Mwenyekiti wake ( Rais JPM ) wanaweza kuwa na Changamoto zao ila sikubaliani kabisa na Hoja yako hii ya Kipuuzi mno.
Huo ndiyo ukweli wenyewe sasa.
 
Na akisha kuchukua form basi yeye ndiye rais
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
 
Huo ndiyo ukweli wenyewe sasa.

Huo Ukweli wako una Uthibitishp gani wa Kisayansi? Tukiendelea Kumpinga Rais JPM kwa Hoja zetu za Kipuuzi hivi Sisi ndiyo tutaonekana Majuha.
 
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Hatari sana
 
TYPICAL! 😅
Sijawahi kuona kiota cha kidege 'zi'izi' mbali na sega la manyigu! 😅😅😅🤡
 
Tutamsindikiza bila wasiwasi
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
 
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
na wewe mbona unakuwa kama umezaliwa jana,kwani hao waangalizi kwenye hizo chaguzi zingine si walikuwa wanakuja na ni kipi tofauti walichokifanya ambacho hata waje au wasije watakifanya,mnatumalizia bando tu kwa kuandika uporoto
 
Huo Ukweli wako una Uthibitishp gani wa Kisayansi? Tukiendelea Kumpinga Rais JPM kwa Hoja zetu za Kipuuzi hivi Sisi ndiyo tutaonekana Majuha.
Angalia jinsi anavyo handle issue ya Corona.
 
Ninaendelea Kusisitiza tutamshinda na kumpa Changamoto Rais JPM kwa Hoja zetu zenye Mantiki, Kisayansi na Kuntu, ila siyo hizi zako za Kijuha.
 
kwani ww ulitaka asithibiti ndugu yangu atutie uoga tu basi...lengo la kuwa mkuu wa majeshi na kiongozi mkuu ni pale hata kama unaona hatari mbele yako kutuambia tulionyuma yako kuwa mambo ni shwari tu..ni kama ndani ya nyumba sio kama ukiwaambia wapike chipsi kuku wale inamaana hali nzuri muda mwingine baba mwenye nyumba anajua hali tete anamezea tu
 
huwezi kusema eti kwakuwa sihtaji wageni waje nyumbani kwangu basi niwaaambie kuwa kila siku ya Mungu natwa na msiba hapana haiku hivo...wakaguzi wa uchaguzi hawatengwagi hata siku moja
 
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Mwaka huu mtapiga ramli sana na uchaguzi utafanyika na JPM atarudi ikulu amilzie amiradi mikubwa aliyoiasisi na kuanzisha miradi mingine.....hutegemei pesa ya wahisani kuendesha uchaguzi wetu.
Ninakubaliana nawe (100%) kwa sababu zifutazo:
1: Hatuna tume huru ya uchaguzi. Wasimamizi wote wa uchaguzi ni makada wa CCM.
2: Sheria na kanuni za uchaguzi zinampendelea aliyeko madarakani.
3: Dola na mihimili mingine ya utawala inamlinda aliyeko madarakani. Rejea kauli ya katibu Mkuu wa CCM.
4: Kwa miaka yote mitano wapinzani wamewekwa kizuizini bila ya kufanya siasa, ila CCM imekuwa ikifanya siasa kwa utashi wake.
5: Kuna janga la Korona ambalo litaogofya wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa. Kwa hiyo tume ya uchaguzi itafanya lolote inalolitaka bila hofu.
6. Mazingira yaliyochafua uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa bado hayajarekebishwa na yataendelea kuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom