Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
ITAKUWA JAMBO ZURI KAMA SIRI MUMEIJUA, BASI NINAWOMBA TWENDE NA JIWE ANATOSHA. Maana tulishasema kunasababu gai ya kufanya uchaguzi iwapo Rais wetu Mpendwa anatosha?. Na kama mumejua siri ya kuwa hakuna pesa ya uchaguzi. Kwa nini hako kadogo karikopo tusikaelekeze kwa madiwani na wabunge?
Kwa kumalizia naomba hiyo siri mliyoijua mkaitafakali kwa kuwaeleza hao watu wenu wanaokwenda kupoteza muda wa kuongeza foleni ya kugombea uRais wasiendelee. Muwe waungwana tu kama Mzee Mrema wa TLP alivyoamua kumuunga Mkono Rais wetu pendwa, jiwe lilokataliwa na waashi ndg JPM. Fullstop OVER
 
Waangalizi wako

Rais wa Marekani @realDonaldTrump
usiku wa kuamkia leo amezinduwa kampeni yake ya kuwania kuchaguliwa tena katika kipindi cha pili kwenye uchaguzi wa Novemba mwaka huu, kwenye mkutano wa kwanza wa hadhara, licha ya kuwepo kwa kitisho cha virusi vya korona, katika mji wa Tulsa
 
Attachments

  • IMG_20200621_144518.jpg
    IMG_20200621_144518.jpg
    93 KB · Views: 1
ITAKUWA JAMBO ZURI KAMA SIRI MUMEIJUA, BASI NINAWOMBA TWENDE NA JIWE ANATOSHA. Maana tulishasema kunasababu gai ya kufanya uchaguzi iwapo Rais wetu Mpendwa anatosha?. Na kama mumejua siri ya kuwa hakuna pesa ya uchaguzi. Kwa nini hako kadogo karikopo tusikaelekeze kwa madiwani na wabunge?
Kwa kumalizia naomba hiyo siri mliyoijua mkaitafakali kwa kuwaeleza hao watu wenu wanaokwenda kupoteza muda wa kuongeza foleni ya kugombea uRais wasiendelee. Muwe waungwana tu kama Mzee Mrema wa TLP alivyoamua kumuunga Mkono Rais wetu pendwa, jiwe lilokataliwa na waashi ndg JPM. Fullstop OVER
Anatosha wapi?
 
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Mtangaza vifo vya corona vipi tena? Vifo havipo tena? Mission imebuma?
 
Anatosha wapi?
Kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa JMT. Maana anaiomgoza vyema Jamuhuri yetu. Kataa au Kubali JPM anatosha na ushindi upo wazi na awamu hii kura zimeshatosha kutoka 50% hadi 96% ushindi huu utaitwa wa Kisulisuli hata kwa wale ambao hawakumukubali mwanzo sasa upepo umeshawaelekea kumpatia kura hizo,
 
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
Pambaneni na hali yenu huko Cha Domo, CCM itawatoa roho [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
We mlamba masaburi hivi ni lazima uchangie kila hoja humu? Membe aruhusiwe kuchukua fomu ili Mgufuli ajiridhishe namna anavyopendwa na kukubalika ndani ya chama chake.
Kwanini unamtaka Membe? Kwani wewe si uanamtaka Lisu?

Lisu na Magufuli watachauana kuona nani anapendwa,! Au wewe unamtaka Membe wa ccm?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Illusion.
 
Na mpaka octoba tutautoa uozo wote
Ingekuwa busara mngemsafish DJ wenu na kashfa ya bill 8, ulevi wa kupitiliza, kuwanyanyasa kingono viti maalumu, huku mkisubiri kushuhudia kishindo Cha mzalendo jembe magufuli kwenye uchaguzi mkuu
 
kunawatu akili zao ni kama nazi mpka zikunwe ndpo zitoe tui la nazi
 
Mkutano wa ACT uliofanyika hivi majuzi ni kiashiria tosha cha hali ya afya hapa nchini.
 
Ingekuwa busara mngemsafish DJ wenu na kashfa ya bill 8, ulevi wa kupitiliza, kuwanyanyasa kingono viti maalumu, huku mkisubiri kushuhudia kishindo Cha mzalendo jembe magufuli kwenye uchaguzi mkuu
Yeye alishasafishwa na CAG. Hilo la ulevi subiri atakuja kuongea
 
Back
Top Bottom