Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi uwezo wa binadamu tulisogeze kwa Mungu.

Rais anasema mwaka jana tulimuona Mungu akitusaidia lakini sasa naona wengine hawana imani tena wanatengeneza taharuki na kutishana mimi sifanyi lokudauni tuchape kazi Mungu yupo. Kwanini au amwamini kuwa Mungu anaweza kuishinda Korona?

Mimi mtoto wa mchungaji nahoji hivi hawa baadhi ya viongozi wa dini ambao nao pia wanaogopa Corona kiasi cha kwamba wanatushauri tuwasikilize watu wa afya na wamitandaoni hivyi hawa watumishi wa Mungu si wangeacha hiyo kazi na kuja huku mchangani ijulikane moja.

Nawauliza na ninyi wana janvi Mungu yupo au, maana babuzetu waliomba mvua zilinyesha, waliomba nzige waondoke asubui waliwakuta chali kificha mende, magonjwa ya mlipuko hayakuwagusa, hivi na yule Mungu wa babu zetu yupo wapi siku hizi na huyu wa kanisani na msikitini yupo wapi.
Hata Mungu mwenyewe amesema pray for wisdom .
 
Mungu anapenda vyeti feki si ndiyo?
Mbona yeye mwenyewe ana PhD FAKE? Mbona aliwaacha Makonda, na Mwigulu na Kigwangala ambao nao walikuwa na utata wa vyeti kama waliowatoa?

Suala la vyeti halikuwa administered vizuri
 
👇👇👇👇👇👇👇
mungu wenu hajaridhika na kafara za kina Ben Saanane, Azory Gwanda Kanguye, Akwilini Akwilini mlizotoa labda anahitaji kafara zaidi ili awasikie
 
Mbona yeye mwenyewe ana PhD FAKE? Mbona aliwaacha Makonda, na Mwigulu na Kigwangala ambao nao walikuwa na utata wa vyeti kama waliowatoa?

Suala la vyeti halikuwa administered vizuri
Yeye naye ni Mungu pia siku hizi?
 
Yeye anamuamini mungu yupi wa ccm ,nyamrunda ? Au yule my daughter's sacrifice made me a president .
 
Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi uwezo wa binadamu tulisogeze kwa Mungu.

Rais anasema mwaka jana tulimuona Mungu akitusaidia lakini sasa naona wengine hawana imani tena wanatengeneza taharuki na kutishana mimi sifanyi lokudauni tuchape kazi Mungu yupo. Kwanini au amwamini kuwa Mungu anaweza kuishinda Korona?

Mimi mtoto wa mchungaji nahoji hivi hawa baadhi ya viongozi wa dini ambao nao pia wanaogopa Corona kiasi cha kwamba wanatushauri tuwasikilize watu wa afya na wamitandaoni hivyi hawa watumishi wa Mungu si wangeacha hiyo kazi na kuja huku mchangani ijulikane moja.

Nawauliza na ninyi wana janvi Mungu yupo au, maana babuzetu waliomba mvua zilinyesha, waliomba nzige waondoke asubui waliwakuta chali kificha mende, magonjwa ya mlipuko hayakuwagusa, hivi na yule Mungu wa babu zetu yupo wapi siku hizi na huyu wa kanisani na msikitini yupo wapi.

Non-overlapping magisteria (NOMA) is the view that was advocated by Stephen Jay Gould that science and religion each represent different areas of inquiry, fact vs. values, so there is a difference between the "nets" over which they have "a legitimate magisterium, or domain of teaching authority", and the two domains do not overlap.

He suggests, with examples, that "NOMA enjoys strong and fully explicit support, even from the primary cultural stereotypes of hard-line traditionalism" and that it is "a sound position of general consensus, established by long struggle among people of goodwill in both magisteria."
 
Tatizo sio Mungu hayupo ila tunaomba atangaze hadharani kua C19 ipo ili tahadhari zianze kuchukuliwa.

[emoji40] [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Unasubiri utangaziwe ndio uchukue tahadhari?!
 
Kutoka kupiga ngoma za asili mpaka kuhubiri dini.
The stone sio wa mchezo mchezo, asili yake hubadilika kulingana na hitaji la wakati husika.
Kesho mshuwa wake itakuwa alikuwa daktari katika kuhalalisha jambo jengine.
Hahaahahahahaha yanj umenifutahisha nilikua na sumu lakini zimeisha zote
 
Non-overlapping magisteria (NOMA) is the view that was advocated by Stephen Jay Gould that science and religion each represent different areas of inquiry, fact vs. values, so there is a difference between the "nets" over which they have "a legitimate magisterium, or domain of teaching authority", and the two domains do not overlap.

He suggests, with examples, that "NOMA enjoys strong and fully explicit support, even from the primary cultural stereotypes of hard-line traditionalism" and that it is "a sound position of general consensus, established by long struggle among people of goodwill in both magisteria."
Tutafsilie ndugu maana si wote tunanao jua kizungu maana hoja umeletewa kwa kiswahili unajibu kwa kizungu aibu yako.
 
Back
Top Bottom