Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

Hakuna cha kupotoshwa na washauri wala nini, kiherehere chake mwenyewe na umbumbumbu kwenye masuala ya uendeshaji wa Uchumi wa Nchi ndo vinamwongoza kufanya Ujinga tunaouona!

Anyway, kama Una vijisenti vyako vuka tu mpaka wa Namanga hapo Nenda Kenya Fungua akaunti, hifadhi Fedha zako kwenye nchi pekee Salama na isiyowaua raia wake kwa eneo hili la Maziwa Makuu, hati tu ya kusafiria ya EA inatosha kukuwezesha kufungua akaunti yako kwenye bank za Kenya
 
Jambo usililo lijua ni sawa sawa na usiku wa kizaa, wewe unafikiria waliochukuwa chemistry, physics, maths , hawana akili ya kutengeneza pesa au kujiwekea kwa ajili ya baadae assets etc ?? Nafikiri hujawahi kukutana nao au kujua walivyo navyo na ukiongezea kuishi kwao humbly , wewe unaona kama hawa jui wakati maono yao ni beyond yako in real terms na sio kwa golden plated
 
Ukifuata sheria na kulipa kodi ya serikali kuna shida gani? Nilikuwa na kaduka kangu ila nilikwepa kodi TRA na halmashauri, awamu hii ya JPM nilibanwa nikaona mambo magumu kwani nilizoea vya kunyonga. Ila sasa nafuata sheria na mambo yanaenda vizuri.
.........
 
 
Rais anafanya kazi nzuri sana...tulipe kodi maana huo ndio uzalendo
 
NMB isha kuwa Saccos.
Mbia wake amekimbia baada ya kuona fedha za wateja zina kwapuliwa na dola.
Hawataki kesi za kuwalipa wateja, wamebwaga manyanga?
REJOINDER!


 
Wewe ndio wale wale kazi yao kulalamika na kulaumu bila kutoa suluhisho /ushauri

Hujaona watu wakitoa ushauri?
Uchumi hautaki mabavu..
Acha ukue ...ukitaka kitu fata sheria
Usipitishe sheria mbovu..

Huwezi freeze accounts enzi hizi..
Tena bila kibali cha mahakama
 
Wewe ndio wale wale kazi yao kulalamika na kulaumu bila kutoa suluhisho /ushauri

Hujaona watu wakitoa ushauri?
Uchumi hautaki mabavu..
Acha ukue ...ukitaka kitu fata sheria
Usipitishe sheria mbovu..

Huwezi freeze accounts enzi hizi..
Tena bila kibali cha mahakama
 
Bado kuanzia kesho I mwan 2021
TIN # ikiunganishwa na CHECK # ndio tutaisoma namba
 
Inawezekana washauri wake ni wapinzani kwani kwa muono wake hawa wapinzani ndiyo wametuchelewesha miaka yote hii 60 ya Uhuru wetu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…