Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujui chochote kuhusu uchumi kaa kimyaa.Jifunze kwanza maana ya neno integrationIntegration my foot.
UK imejitoa kwenye ma integration hasara ya EU.
Kujiondoa hao wageni kutoka kwenye umiliki wa the biggest banking conglomerate is welcome news.
Local bank kwa sasa zinaogopwa sana na investors kwa hii tabia ya kuchotewa hela ki holela na TRA kwa kisingizio cha money laundering
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)
Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.
Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.
Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.
View attachment 1662012
View attachment 1662013
Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.
Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.
Mjumbe hauawi
N. Mushi

Ina ukubwa gani,haipo hata Rwanda,Burundi,au Malawi,KCB,Equity benki za Kenya hizi,zipo mpaka South sudani,Congo,Unatoaje hela NMB?
Mwajiri mkubwa kuliko wote nchini anatumia NMB, mishahara yote inatumwa huko. Unaikwepaje NMB?
The biggest financial conglomerate in the country simply can not be a foreign bank.
The national and economic security exposure is not worth the risk.
VipofuSerikali ndio mwanahisa mkubwa kwa sasa.
Ni jambo jema!
Sijui mnalishwagwa niniBenki binafsi ziko zaidi ya 50 serikali kuwa major shareholder katika benki moja au tatu hakuna ubaya wowote!
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)
Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.
Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.
Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.
View attachment 1662012
View attachment 1662013
Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.
Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.
Mjumbe hauawi
N. Mushi
Haujitambui km nyumbu. Zimeenda ARISE ambapo Rabobank ni partnerZimbabwe is loading.....
Sijui kwanini hakuja na taarifa kamili wakati Rabobank walishapeleka request mapema tu kuhamisha hisa zao kwenda ARISE ambapo Rabobank ni mwanahisa au partnerInformation not complete, hujui kwanini kaondoka. Hujui hisa zake kamuuzia nani.Hujui kama ni serikali au ni local au foreign investors.
Ila una wasisi na outcome.
Serikali atabaki kama mkubwa itsaidia nini wakati hana capital to inject?
Shareholder ni injection ya capital sio kushika mashare kama karatasi mzee!
Rabobank ana mtaji wa maana kupita maelezo ndio alikua ana inject serious money in there kuifanya ifanye biashara vizuri
Nikwambie tu,Serikali inataka kumiliki financial sector yote kama hijacking technique ya control
Hakuna kingine ni CONTROL inatafutwa.....baada ya kupata control ya financial sector yote,sector lazima ishuke na kufa,maana private firms zote zitakua hazina stake yeyote kwenye mabenki makubwa
Na serikali haijui lolote about financial business,haijui maana ya commercial banking business....yenyewe imeingia ku-control tu kwa political reasons,not business reasons and making real profits kama biashara
Ndio tabia ya serikali ya kidikteta,kumili njia zote na mifumo yote ya nchi,ili kujipa assurance ya kukandamiza opposing forces and rule indefinitely....basi,hakuna kingine!
Wametimiza kazi iliyowaleta, sasa watuache na sisi tukue na tujitegemee. Hii itatusaidia na sisi kuwekeza katika nchi nyingine kama wao!Actually hawa Robobank walikuwa head hunted ..walitafutwa na kushawishiwa kuwa
Sehemu ya bank mpya then ..
Robobank Wana historia the best in the world
Kwenye microbanking...
Na waliitoa NMB kutoka bank mpya ya walalahoi Hadi kuwa bank kubwa kuliko zote TZ...
Sasa tunawaletea uswahili wetu wa kuona mavuno na kuingiza tamaa
Head hunted na nani?Actually hawa Robobank walikuwa head hunted ..walitafutwa na kushawishiwa kuwa
Sehemu ya bank mpya then ..
Robobank Wana historia the best in the world
Kwenye microbanking...
Na waliitoa NMB kutoka bank mpya ya walalahoi Hadi kuwa bank kubwa kuliko zote TZ...
Sasa tunawaletea uswahili wetu wa kuona mavuno na kuingiza tamaa
Acheni ujinga na kukurupuka kama nyumbuWe a in the right track