Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

Unapuyanga,Magu alisema Mazao chini ya tani 1 hakuna kodi au ushuru sasa baba kajaribu kusafirisha gunia moja tuu utapata majibu kama ni kweli au sio kweli .Nyie si mnaishi kwa jasho letu ndio maana unatetea ushuzi
 

Hicho ndio mukulu anataka acha kupotosha. Kila mtu alipe kodi. 5Tena.
 
Inaumiza sana,unakuta mtu prof kabisa lakini anafanya tofauti na alichosoma, sasa sijui anafanya hivyo kwa ajili ya nini? nashindwa hata kuwaelewa hawa watu.
 
Inaumiza sana,unakuta mtu prof kabisa lakini anafanya tofauti na alichosoma, sasa sijui anafanya hivyo kwa ajili ya nini? nashindwa hata kuwaelewa hawa watu.
 
Hata shetani hakosi wafuasi , yaani oneni huyu jamaa anasapoti udhumati , uvunjaji wa sheria , katiba , ukiukwaji wa haki za binadamu , unapora hela za watu kisingizio ukwepaji kodi , utakatishaji ,uhujumu uchumi , The king is possessed by the evil spirit .
 
Pole nyingi sana zimfikie Yusuph Manji
 
Watakuja kukubishia japo andiko lako limewapa ukweli na elimu juu.
Lakini hata mioyo ya wabishaji inajua rais John Pombe Magufuli ana mema mengi kuliko hayo mabaya wanayomlazimishia
 
Usimlaumu mtu yeyote.

Magufuli HASHAURIKI. Neno lake ni FINAL
Tanzania ina Rais, sio mfalme! Rais anapewa dhamana yakutumikia umma, na sio mwenye umma!

Nchi inaendeshwa kwa mifumo na viongozi wanatekeleza majukumu ndani ya mifumo. Anayeshindwa hili, kuna mifumo ya kumwondoa.

Je, tuseme Tanzania haina mifumo ya uongozi?
 
Anaingizwaje wakati alisema "haihitaji kupangiwa" wakimpangia ndio wanaharibu...
 
Vipi yana kanuni pia watu fulani wasilipe Kodi japo wanaingiza kipato tena kikubwa?
 
Nchi inaendeshwa kidikteta sana hii, Jiwe ni sikio la kufa hasikii dawa[emoji2]
 
Ipo kwenye vitabu tu, not practical in Tanzania, hasa awamu hii
 
Magufuli atumike vizuri ni Rais Mzuri sana.

Apatikane mtu wa kumsaidia vizuri huyu mtu awe ni link Kati yake na watendaji wake mambo yatakwenda vyema.

That's all.
 
Tanzania Rais ndio mfumo wenyewe. Halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote.


Hata kama akiamua kuhamishia HAZINA Ghetto kwake, hakuna wa kumuuliza chochote yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…