Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Sio kweli kabisa, ni upotoshaji wa wazi na wa hali ya juu kabisa na sijui kwa faida ya nani.NMB isha kuwa Saccos.
Mbia wake amekimbia baada ya kuona fedha za wateja zina kwapuliwa na dola.
Hawataki kesi za kuwalipa wateja, wamebwaga manyanga!
Wakati Farao wa Misri anaota ndoto hakujua nini maana ya ndoto yake; Ila Mungu wa Mbinguni akamletea mtu wa kumsaidia tafsiri ya ndoto na kumsaidia ku-execute.Watakuja kukubishia japo andiko lako limewapa ukweli na elimu juu.
Lakini hata mioyo ya wabishaji inajua rais John Pombe Magufuli ana mema mengi kuliko hayo mabaya wanayomlazimishia
Barikiwa broWakati Farao wa Misri anaota ndoto hakujua nini maana ya ndoto yake; Ila Mungu wa Mbinguni akamletea mtu wa kumsaidia tafsiri ya ndoto na kumsaidia ku-execute.
Maisha yetu wanadamu yanategemeana sana; kazi yetu sisi ambao hatuna access ya moja kwa moja na wenye mamlaka ni kushauri what we think is the best practice.
Then wakiona kuna umuhimu wa kufanyia kazi, tutakaa chini tuijenge Tanzania.
Asante mama D kwa mchango wako
Eliza sasa ukweli unaoujua.Sio kweli kabisa, ni upotoshaji wa wazi na wa hali ya juu kabisa na sijui kwa faida ya nani.
Kwa sasa nchi inaelekea kubaya sanaMaswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Naona unamuunga mkono marehemu Kingunge kwamba huyo jamaa yenu anafaa kuwa nyapara tuMagufuli atumike vizuri ni Rais Mzuri sana.
Apatikane mtu wa kumsaidia vizuri huyu mtu awe ni link Kati yake na watendaji wake mambo yatakwenda vyema.
That's all.
Kuna nchi hapa duniani raia wake hawalipi kodi na ikaendelea? Wewe kama hutaki kulipa kodi ni juu yako and you are free to move, tuachie sie walipa kodi tuishi.Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Shida kubwa ipo kwa waliokua wanatumia nafasi zao, waliokua wanatoa na kupokea kitu kidogo ili kukwepa sheria na taratibu..... ndio maana sasahivi malalamiko ni mengi kama vile rais Magufuli amekuja na sheria na taratibu mpyaKuna hali nzuri ya Uwekezaji leo, kuliko wakati mwingine wowote, ila lipa kodi na yaishi maelekezo.
Anajiingiza mwenyewe mkenge,Mkuu washauri wanamwambia kile wanachojua anataka kusikia ni one man show ukitaka kulinda cheo chako lazima uingie kichwani kwake usome anachotegemea ufanye ndivyo ufanye.
Rais mwenyewe anawashauri washauri na kasema hapangiwi.Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Sawa ngosha!Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkono
1. Hakuna kodi isiyoeleweka zaidi ya kauli au dhana ya mleta mada, kwani ameshindwa kueleza ni kodi ipi isiyo eleweka ili aweze kueleweshwa.
2. Account kuwa frozen sio jambo geni na ndio maana Maneno hayo yapo hayakuanza wakati wa Nyerere au wakati wa Awamu hii ya Tano.
Na kama kuna Nchi ina freeze account ni USA ambayo imezui fedha nyingi sana Iran na za Venezuela, just to a mentioned a few e.g.
Na kuna sheria za kimataifa ktk usafirishaji wa pesa toka nchi moja kwenda nyingine, na hata ubadilishaji wa pesa wakati mwingine hufanyika ili kudhibiti mambo kama haya ya ukwepaji kodi na uhifadhi wa fedha zilizopatikana kwa njia zisizo faa kama matendo, madawa ya kuleta n.k.
3. Hakuna kodi ya kuku wawili wanaofugwa nyumbani for matumizi ya nyumbani, lakini kuna kodi zimewekwa kwa kufanya biashara mfano unauza kuku sokoni kuna kodi zake au uhuru wa soko n.k.
Na madhumuni yake ni watu wengi kadri inavyo wezekana wachangie maendeleo na utoaji wa huduma kwa watu wote waliopo Tanzania . Na sio kodi itoke kwa baadhi tu ya wananchi au tuseme wafanyakazi na wafanya biashara
4. Hakuna mara kile mara hiki , bali ni kuimarisha mifumo yetu ambayo ilikuwa dini kwa kutokuwa na wafanyakazi wa kutosha wenye weledi na matumizi mazuri ya technology yenye kuwezesha kupata taarifa sahihi za mtu/watu / vitu/ biashara n.k .
Vitu hivyo visipo fanyika ni huyu huyu mleta mada atalalamika kukosekana kwa waalimu, vyoo, thamani za shule vitu, ma desk n.k
Hivyo uwe na mchango endelevu ili Maisha ya watoto iwe bora zaidi. Fikiria future
Hiyo sio tafsiri yangu;Naona unamuunga mkono marehemu Kingunge kwamba huyo jamaa yenu anafaa kuwa nyapara tu
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Acha wehu,yaani ili nifuge kuku wa mayai inatakiwa nikakate leseni?Kama ni ushuru au kodi si itapatikana sokoni?Mbeleni mtatuambia hata kulima mazao ya biashara tukate leseni!Nikichungulia kwa mbali naona kodi ya kichwa inanukia!Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkono
1. Hakuna kodi isiyoeleweka zaidi ya kauli au dhana ya mleta mada, kwani ameshindwa kueleza ni kodi ipi isiyo eleweka ili aweze kueleweshwa.
2. Account kuwa frozen sio jambo geni na ndio maana Maneno hayo yapo hayakuanza wakati wa Nyerere au wakati wa Awamu hii ya Tano.
Na kama kuna Nchi ina freeze account ni USA ambayo imezui fedha nyingi sana Iran na za Venezuela, just to a mentioned a few e.g.
Na kuna sheria za kimataifa ktk usafirishaji wa pesa toka nchi moja kwenda nyingine, na hata ubadilishaji wa pesa wakati mwingine hufanyika ili kudhibiti mambo kama haya ya ukwepaji kodi na uhifadhi wa fedha zilizopatikana kwa njia zisizo faa kama matendo, madawa ya kuleta n.k.
3. Hakuna kodi ya kuku wawili wanaofugwa nyumbani for matumizi ya nyumbani, lakini kuna kodi zimewekwa kwa kufanya biashara mfano unauza kuku sokoni kuna kodi zake au uhuru wa soko n.k.
Na madhumuni yake ni watu wengi kadri inavyo wezekana wachangie maendeleo na utoaji wa huduma kwa watu wote waliopo Tanzania . Na sio kodi itoke kwa baadhi tu ya wananchi au tuseme wafanyakazi na wafanya biashara
4. Hakuna mara kile mara hiki , bali ni kuimarisha mifumo yetu ambayo ilikuwa dini kwa kutokuwa na wafanyakazi wa kutosha wenye weledi na matumizi mazuri ya technology yenye kuwezesha kupata taarifa sahihi za mtu/watu / vitu/ biashara n.k .
Vitu hivyo visipo fanyika ni huyu huyu mleta mada atalalamika kukosekana kwa waalimu, vyoo, thamani za shule vitu, ma desk n.k
Hivyo uwe na mchango endelevu ili Maisha ya watoto iwe bora zaidi. Fikiria future
Tatizo la Viongozi aina ya Nyerere ni kuamini kuwa maono yao ni sahihi.
Wafanyabiashara wamepitia madhila mengi sana tangu awamu ya kwanza kwa baishara na kampuni zao kutaifishwa, nyumba kutaifishwa, mpaka ilifikia wakati wa operesheni maduka yaani mtu anaitwa mhujumu uchumi kwa kuwa na boksi moja la sabuni.
Matikeo ya hali hiyo yalipelekea bidhaa kupotea madukani! Watu wakavaa magunia kabla ya kuruhusiwa nguo za mitumba.
Uongozi wowote ambao unatafuta watu wa kuwaangushia jumba bovu kwa kushindwa kwake kuja na suluhu ya matatizo ya wananchi ni uongozi usiofaa. Shime watawala wasiturudishe nyuma.
Acheni hizi mambo ndugu zangu Magufuli nani asiemjua au mtu akiwa Rais anakuwa naakili ya ziada! ukweli ni kwamba huyo ndugu hana uwezo wakuongoza anatumia msuli badala ya ubongo ndio maanaHiyo sio tafsiri yangu;
Ninachokiona hapa ni kuwa there is a missing link between Magufuli na Watendaji wake.
Kwamba kuna baadhi ya watendaji wanashindwa kuelewa jamaa anataka nini katika kushindwa huko kumuelewa wanafanya mambo ambayo wakati mwingine yanamuweka mahali ambapo sio pazuri.
Hivyo kutatua hili, anapaswa kuwepo mtu au watu ambao wanamfahamu vyema mh. Na wanauwezo mzuri wa kusukuma mambo nikimaanisha kuyatafsiri katika namna itayoeleweka kwa urahisi na watu hao ndio watakao kuwa wanasukuma kila jambo analolitaka, hii itasaidia sana.
Vinara wa Rushwa huko TRA hufunga Account za wafanyabiashara kwa kuwabambikia kodi kubwa kienyeji kwa njia haramu za kishetaniMaswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Mzee baba umejaribu saaana kuandika lakini ukweli unabaki palepale kuwa pamoja na kodi mpaka za kuku hakuna mahali mlalahoi atapita bila kulipia huduma yoyote ile, mfano umeongelea thamani za shule:- pamoja na wimbo wa elimu bure lakini huyu mlala hoi atakapo mpeleka mtoto wake shule ya sekondari atahitaji kununua dawati, mfagio, squeezer, kulipa hela ya mlinzi, mpishi, ukarabati nk, Akienda hospital hakuna madawa, atalipia mpaka kuiona sura ya Dr, nasema sura kwa sababu baada ya hapo utaambiwa kipimo fulani nenda mahali fulani, dawa fulani, nenda mahali fulani,Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkono