Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anaomba kuongeza mkataba wa kazi na Tundu Lissu anaomba kazi kwa upya, ipo tofauti hapo

Hata jimboni hana cha kulinganisha na muda aliokiwa bungeni
 
yan mim ni jembe ni jembe jongwe.ila kila nikiend Ufipa yan nakata tamaa kwa kweli
Basi ungebahatika kuzaliwa miaka ya nyuma na ukabahatika kuziona ofisi za TANU kwa zaidi ya miaka 15 ungekata tamaa na Nyerere!
 
Kunichanganyia vilugha vya kibeberu usijione umesoma sana au unaulewa wa mambo ningekuwa karibu ningekukata kofi ,nimekuuliza asilimia ngapi na hiyo miaka mitatu hujaona huko juu nimeandika.Kwanza unachojaribu kusema ni umesikia kwa ndugu yako huna uelewa wowote wa kunijibu tuishie hapo .

Magufuli mitano tena kazi iendelee.
 
Ni kweli kuna tofauti kubwa saana
Nimefanya
Nitafanya
Nimetengeneza
Nitatengeneza
nakadhalika
Dunia ni mapishano
Huyu anaanza mwingine anamaliza
Huyu anastaafu mwingine anaajiriwa
Huyu anakufa mwingine anazaliwa
Huyu anaondoka yule anarudi nk.nk.
Kila mtu huanza sio kama aliyekwisha anza asianze meingine. Amefanya lakini sio milele.
Ya zamani yamepita, tazama, sasa yamekuwa mapya!!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Sisi Watanzania hatuna uhakika ya kuwa tulimuajiri mtu huyu kupitia matokeo ya kura halali tulizopiga mwaka 2015. Mazingira yanaonyesha demokrasia ilibakwa kama vile ambavyo inataka kufanyika mwaka huu wa uchaguzi.

Pamoja na ukweli ya kuwa alitangazwa kuwa ndiye mshindi, baada ya Lowassa kushindwa kuhamasisha umma kulinda kura alizopigiwa na yeye kuingia ktk ajira hii nyeti, bado tuna wajibu wa kupima utendaji wake wa kazi. Kwa kuwa mamlaka yake ni ya kikatiba basi vigezo muhimu navyo vinakuwa ni kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa masharti ya katiba, sheria na kanuni zilizowekwa kisheria.

Kwa hiyo tulitegemea ktk utendaji wake huo wa kazi angeweza kupata kati ya alama zifuatazo;
A - Utendaji uliokuwa bora kabisa
B - Utendaji mzuri
C - Utendaji unaoridhisha
D - Utendaji usio ridhisha
F - Utendaji hafifu

Kwa hiyo basi tunatambua alikabidhiwa jukumu hilo la kikatiba, lakini ni ukweli pia ya kwamba utendaji wake wa kazi umekuwa wa kiwango hafifu sana, yaani pasipo kumung'unya maneno amepata wastani wa F. Kwa hiyo ni lazima kupitia uchaguzi wa mwaka huu ofisi hii akabidhiwe mtu sahihi ambaye anaweza kuaminika ktk kuisimamia na kuiendesha ipasavyo. Naye si mwingine bali Tundu Antipas Lissu.
 
Kumpa kura aliye fanya kwa vitendo na vitu vikaonekana ni kheri kuliko mtu anayetaka kujaribu tena kwa msaada wa mabeberu. Wenye mtindio wa ubongo tu,wasiona hata picha wala kusikia mambo makubwa afanyayo JPM tu ndio watampa kuru huyo kibaraka.
 
Ukweli ni kwamba, mwajili alisha kuwa attenuated na na mwajiliwa anayemaliza mkataba wake. Ingekuwa mwajili anazo nguvu kwa waajiliwa wake, Magufuli angeshafukuzwa kazi kabla ya mkataba wake kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…