Nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na hata mleta uzi nadhani anaweza kushangaa kidogo na hiki nilichoandika. Nimeandika ambacho sina shaka nacho. Sina tatizo na mchango mkubwa wa Mbowe kwenye ujenzi wa Chadema na hapa Chadema alipoifikisha. Ila taka au au Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya miaka 15. Chadema ni taasisi na sio Mbowe, kama unaishi kwenye zama za kusujudia watu, huko tulishatoka.
[/QUOTE
Nisaidie kidogo tu kuhusu uchansela wa Angela Merkel, una miaka mingapi?
Usilegeze sauti hapa! Kinara wa mipango yote ya kumnunua na kupanga vurugu kazikwa juzi na hakuna aliyemkaimisha nafasi yake! Au hukumwona mwenyekiti alivyomlilia wakati wa kuagwa Dodoma?
Kwa kifupi CCM shughuli hakuna imebaki yatima!
Na Mbowe anakwenda kuibuka shujaa October!
Chadema mnafurahisha kweli, Kwahiyo Mkuu na midevu yako unaamini Mbowe atashinda ubunge?
Mkuu, acha kupoteza muda. Upinzani 2020 hauna nafasi kabisa upande wa urais, hata ubungeni ni changamoto!
Hivi mbowe ananini cha zaidi ambacho ameshindwa kukitekeleza kwa miaka yote aliyokuwa madarakani
Lijualikali atakuwa aliletwa na MOSSAD au KGB!Safari hii TISS itawaletea Membe
Nje ya mada unadhani Mbowe yupo sirias sana?
Nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, na hata mleta uzi nadhani anaweza kushangaa kidogo na hiki nilichoandika. Nimeandika ambacho sina shaka nacho. Sina tatizo na mchango mkubwa wa Mbowe kwenye ujenzi wa Chadema na hapa Chadema alipoifikisha. Ila taka usitake Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya miaka 15. Chadema ni taasisi na sio Mbowe, kama unaishi kwenye zama za kusujudia watu, huko tulishatoka.
Umeiweka vizuri. Shida hapa ni mataga Mpumbavu mtwange ndani ya kinu bado atatoka na upumbavu wake!Kama kweli wewe ni mwana CHADEMA na unakipenda chama chako, then, huna option maana Mbowe ndiye mwenyekiti wako, ni lazima ufanye naye kazi tu...!
Katika demokrasia, kanuni ya "wengi wape" na "wachache waheshimiwe" ndiyo inayofanya kazi. Sijui kama unalijua hili...
Ukitaka kubadilisha mambo kwenye taasisi yoyote, huwezi kufanya hivyo kwa kukaa sehemu na ku - violate taratibu na kanuni za kuiongoza taasisi hiyo kwa kutofuata utaratibu....
Ukitaka ubadilishe mfumo fulani wa kitaasisi ikiwemo hili la namna ya kupata viongozi na muda wao wa kukaa madarakani, fuata taratibu za kikatiba. INAWEZEKANA....
Nina hakika Ndugu, Freeman A. Mbowe hakujiweka kwenye hiyo nafasi ya Unyekiti....
Amechaguliwa na wengi kwa miaka yote unayoweza kuihesabu na kwa utaratibu wenu wa kikatiba mliojiwekea wenyewe....
Kama yeye mwenyewe Mbowe alitaka aendelee na kufanikwa kushawishi watu, nao wakashawishika na kukubali kumchagua tena na tena, kosa lake ni nini? Je, ni kwa sababu wewe humpendi?
Hilo ni tatizo lako binafsi zaidi...!!
Hata hivyo, ulikuwa na nafasi ya kukutana naye na kumshawishi haya uyasemayo kwa kumwambia;
".........Bwana Mbowe, uzuri wako ni wa miaka 10 tu ama ikizidi ni 15. Kwa sasa huna uzuri tena, huna mbinu, huna mikakati, kaa pembeni mwachie mtu mwingine........"
Lakini hukufanya hivyo.....!!
Na kama ulifanya, basi maana yake ushawishi wako ulikuwa dhaifu na kukataliwa....
Uungwana ni kukubaliana na kushindwa maana asiyekubali kushindwa si mshindani. Huyo ni mtaka fujo na mtafuta maneno tu....!!
Kwa hiyo, inawezekana wewe ulikuwa katika kambi ya "MBOWE ASIENDELEE KWA ZAIDI YA MIAKA 10 AU 15" kama ulivyosema katika andiko lako orijino....
Lakini, kambi ya wenzenu walioona anafaa aendelee zaidi ya muda huo ILIWASHINDA na hivyo Mr Mbowe kuwa mwenyekiti wako...
Kisiasa hapo ndipo tunasema "WENGI WAPE" na kubaliana na maamuzi ya wengi.....
Kuendeleza malumbano kama hayo huku ukiwa ndani ya chama kwa vyovyote vile hii inakuwa siyo saw a na hii inaitwa "uasi ndani ya chama" na siku zote tabia hizi zina adhabu yake KISHERIA na KIKANUNI ndani ya taasisi yoyote.....
Ndani ya chama kama CCM hususani huwezi kuona mwanachama akipinga maamuzi ya chama halali na yaliyofuata taratibu zote kikatiba halafu akabaki salama....
Kisiasa na kistaarabu, mtu anapokuwa hajakubaliana na maamuzi ya kitaasisi, ili awe huru kusema na kukosoa, hutoka ndani ya taasisi hiyo ili asemee nje huko....
Vivyo hivyo wewe, kama hukubaliani na maamuzi halali ya kikatiba ya chama, ondoka ndani ya chama hicho kisha tafuta kinachoweza kukidhi mahitaji yako....
Nakuhakikishia hutakipata chama hicho katika nchi yoyote hapa duniani....!!
Hivi vyama vya siasa tunaweza kuvifananisha na maisha ya ndoa ya mume na mke....
Kiasili hakuna MUME PERFECT KWA 100% na vivyo hivyo hayupo MKE PERFECT KWA 100%...
Lakini hii haizuii watu kuoana. Cha muhimu ni wanandoa kuijua principle muhimu ya ndoa ya; Kuvumiliana na kuheshimiana kwa kila mmoja kubeba mapungufu ya mwingine....
Ndivyo ilivyo ktk vyama vya siasa na hata mahusiano ya kawaida ya mtu na MTU....
Tunajadili bila dili yoyote CDM. Hicho chama angekabidhiwa Mwambe au Sumaye? Ni wawili waliotia nia kuwania uwenyekiti labda kwa kuona Mbowe hatoshi. Au kwa sababu nyingine ovu na kubwa kuliko zote ya umamluki. Kuna siku ulimi wa Sumaye uliteleza ukamaka hadharani: Nawashangaa CCM wengine hawajui kuwa nalienda upinzani kwa faida ya CCM. Hiyo kauli hajapata kuifafanua wala hakuna aliyewahi kumuuliza maana yake. Kurudi kwake CCM ni jibu tosha!Hujanikwaza sina sababu ya kukwazika, nilishakwambia juu kule sina ndugu wala jamaa CDM, ni mitazamo tu.
Kwangu Mbowe is still the best candidate to manage the party, wote walioaminika mwanzo walinunulika wakaondoka, hakuna wakumnunua Mbowe ameshathibitisha hilo.
Noted.Tunajadili bila dili yoyote CDM. Hicho chama angekabidhiwa Mwambe au Sumaye? Ni wawili waliotia nia kuwania uwenyekiti labda kwa kuona Mbowe hatoshi. Au kwa sababu nyingine ovu na kubwa kuliko zote ya umamluki. Kuna siku ulimi wa Sumaye uliteleza ukamaka hadharani: Nawashangaa CCM wengine hawajui kuwa nalienda upinzani kwa faida ya CCM. Hiyo kauli hajapata kuifafanua wala hakuna aliyewahi kumuuliza maana yake. Kurudi kwake CCM ni jibu tosha!
Ameijenga chadema wakati hata ofisi haina? Ameijenga nini? Wale wabunge waliokuja na lowasa? Wapo wapi saizi?tindo,
Hebu Soma ulichoandika Kama nawe utakielewa! Utopolo mtupu! Huyo Magufuli kaachive Nini ndani ya miaka mitano?
Heri ya Mbowe kaijenga Chadema bila dola na fedha za umma.
Kama CCM haimuogopi Mbowe kwanini haimpi nafasi ya kufanya siasa Kama magu et al anavyofanya kwa miaka mitano na hajadeliver lolote kwa wananchi zaidi ya kuwatisha?
Acha upimbi ww, chama ni watu..kama ni jengo hata TLP wana jengo lkn nchi nzima haina wanachama zaidi ya 200...Ameijenga chadema wakati hata ofisi haina? Ameijenga nini? Wale wabunge waliokuja na lowasa? Wapo wapi saizi?
Magufuli ameweza elimu bure toka chekechea mpaka kidato cha nne, ujenzi wa sgr, bwawa la umeme nk... Mbowe ajiandae kwenda ku manage hotel
Ccm iliwahi kujenga ofisi ipi na wapi? Tatizo ninyi watoto wadogo ambao bado mnajifuta makamasi kwenye pembe ya shavu mnajidanganya kuijua Sana ccm ilihali mnalishwa ujinga!Ameijenga chadema wakati hata ofisi haina? Ameijenga nini? Wale wabunge waliokuja na lowasa? Wapo wapi saizi?
Magufuli ameweza elimu bure toka chekechea mpaka kidato cha nne, ujenzi wa sgr, bwawa la umeme nk... Mbowe ajiandae kwenda ku manage hotel
Interesting.!!Ccm iliwahi kujenga ofisi ipi na wapi? Tatizo ninyi watoto wadogo ambao bado mnajifuta makamasi kwenye pembe ya shavu mnajidanganya kuijua Sana ccm ilihali mnalishwa ujinga!
Ofisi za ccm tulizijenga sisi kwa michango ya lazima na mengine yaliporwa kutoka serikalini! Ccm haijawahi kujenga hata choo!
Hilo la elimu Bure hujui lilikoanzia. Sisi ndio tuliosoma Bure burashi kwa kupewa uji wa bulga SAA nne na ugali au ngano iliyofungwa vyema SAA name. Madaktari ya Bure na lijaa inakwenda stop kupewa jipya. Penseli, mfutio na founterpen na kudai Cha wino bure! Hatukukaa chini ya miembe Wala kukalika mawe na mikeka Bali dawati moja mtu mmoja! Vitabu vilitosha kwani kila mtu na vyake!
Hiyo ndio elimu bure niijuayo na siyo hii yako ya kumpa mwanafunzi sh Mia tatu kwa mwezi!
Mliidandia hoja ya cdm juu ya elimu bure bila kuwauliza wangeiimplement vipi na matokeo yake mnaishia kuwadanganya wananchi! Una hoja Tena nikuongeze nondo?
Anaekurekebisha anakupendaMwl. Nyerere aliiongoza TANU na Ccm kwa miaka mingapi? Ukilipata jibu njoo Tena!
Unajua maana ya uzoevu? Unajua kuwa uzoevu huujenga umahiri? Yawezekana huelewi lolote juu ya uzoevu usiojengwa kwa mwaka mmoja Bali kwa miaka mingi utakayoishi! Au wewe huujengi umahiri wowote kupitia uzoevu?
Hauawahusu ya mwenyekiti wa cdm na najua mmetumwa kuziimba nyimbo za kebehi hapa! Kwa Sasa Mbowe ndiye mwenyekiti wa cdm na akiutaka Tena atapewa, tuombe uhai!
Nyalandu veeepeeee!?Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea CCM na wimbi la Lowassa hakuna mwenye mapenzi na chama.
Sasa lile wimbi la Lowassa limegundua hawana nafasi mbele ya Chadema asili wameondoka wamebaki wale wachumia tumbo ambao walipata ubunge kwa upepo wa Lowassa, wanatafuta nguzo za chama wakiangamize lakini wapi Mbowe kasimama wamekwama.
Sasa Magufuli anatengeneza upinzani pure asili wa wafia chama ambao wapo tayari kwa lolote kuelekea uchaguzi mkuu, Anatengeneza mgogoro ndani ya ccm wa uteuzi wa wabunge mwaka 2020 kama ilivyokuwa kwa chadema mwaka 2015 yaani kiufupi yale waliyoyaita makapi na mafisadi watatumia muda mwingi kuyasafisha wakati chadema watakuwa na wagombea pure 2020.
Sasa wale mnaosubiri chadema ife subiri kura ya hasira ya wanachama wa ccm kwenye makapi.
Siyo anaekurekebisha Bali anayekurekebisha! Nawe jirekebishe kuandika kiswahili fasaha!Anaekurekebisha anakupenda