Rais Magufuli anatengeneza upinzani "Pure" utamsumbua sana


Sidhani kama Mbowe amedhamiria kuendelea kuwa mwenyekiti bali hali halisi ya kisiasa nchini imewalazimisha Chadema kumpa kipindi kingine.
 
Bila matumizi ya nguvu ccm haijashinda uchaguzi tangu mwaka 1990.
Wachache watakuelewa...Ni busara za Mwalimu Nyerere aliayeamua kuingilia kati...Ki mzaha mzaha....wengi hawakumwelewa,ila hali,ilikuwa tete.Ni kiburi tu na watu baadhi kujitoa ufahamu.
 
Hili la ujio wa Lowasa linaonekana wazi kabisa kuwa Mwenyekiti wa Chadema alitulizwa akaunga mkono jitihada.
 
Kuhusu mabadiliko ya viongozi wa ngazi ya juu kabisa wa vyama vya siasa Tanzania, ni chama kipi hubadilisha viongozi wake ndani ya miaka isiyozidi 10 nje ya CCM?
Kubadili tu ndugu....?!
 
Lazima tuukubali ukweli hata kama unatuchoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kakiburi fulani tu na hisia ambazo msingi wake ni ukongwe....'...Sisi.ni.akina Fulani..…'.Lakini.ukiangalia.nguvu na.mbinu.ambazo.hutumika.mpaka.wapinzani.wakashindwa huwa ni kubwa mno.jamani..mpaka.huruma....Samahani Lakini...siyo.mwanasiasa.Bali.mtazamaji tu,na.ukiwa pembeni ,nivyepesi mno kuona..
 
Hapana mkuu...
Chadema wako watu wengi sana wasomi na wenye uwezo... na wasiowahi kusikika.

Vyuoni, serikalini nk
tindo, Kwa utawala huu kamanda ulitaka tumpe Sumaye? Kweli? Yaani tumpatie Mwambe kisa Mbowe kakaa madarakani kwa miaka 15?? Wewe jamaa wewe embu watathimini hao waliokuwa wagombea wko na uwalinganishe na Mbowe... mmmmuhhh naanza kukuogopa
 

Prof Safari simtu wa kuaminika kabisa.
 
1. Huyo anayeshauri ni chadema damu. Huwa haikosoi chadema wala Mbowe. Leo ametoa maoni anayoona ni ya kweli.
2. Chadema sio familia na sio one man owned. Ni taasisi. Ukiongelea baba unaongelea ome man ownership na sio taasisi.
3. Huyo ni chadema mwenzake kwani muyajenge[emoji3]
 
Mnataka watu kama mslngi eeh ili baadae wasujudie gamba duu kimewauma kwa mboye poleni sn
 
Sasa hivi wananunua madiwani na wabunge,bila Mbowe wange nunua chama chote
 
Too late Chadema imeshakufa.
 
Acha upimbi ww, chama ni watu..kama ni jengo hata TLP wana jengo lkn nchi nzima haina wanachama zaidi ya 200...
Pesa za wanachama zinaenda kukodi ukumbi mlimani city, wakati wangeweza kujenga wao na kuokoa pesa... Au hujui viongozi na mafisadi wanapiga pesa kupitia matumizi??
 
Hauko sahihi.cha msingi ni ccm ijue jinsi ya kuishi na wapinzani.muda ukifika hata mawe yataongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…