Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

'ruhi' watu wamekazana sana kutaka sote tukubali uigizaji huu kuwa ndio hali halisi.
Hawaamini kuwa wapo wanaoona na kutambua uigizaji na kuuweka pembeni na kuwaambia ukweli ulivyo.

Ni wajibu wa wanaouona ukweli na kuusema bila kuchoka.
Hawa wanaotafuta kuwalaghai watu wakidhani wote ni wajinga, mwishowe ulaghai wao utaonekana wazi. Jitihada zote za kuzima vyombo vya habari visifanye kazi bila kuingiliwa ni sehemu ya kupumbaza watu na ni njia hizo hizo walizodhani ujinga wa waTanzania utazidi kuenea ili waendelee kulaghai watakavyo.

Huu ni uongozi wa ajabu sana.
 
Watu hawawezi kuyasoma haya na wakayaelewa? Tuna tatizo gani nchi hii!
 
Umeuona huo Mkataba? unataka kuniambia Mkwere alikuwa mwehu wakiwango hicho chakutaka kuiuza nchi yake?
 
Kwani huo wa Bagamoyo ulimeshawekwa wazi? sianaongea yeye tu bila wengine kujilidhisha kama ni kweli au ni urongo
Mikatabba ya Kiwanja cha ndege cha Chato, ya Stiegler's Gorge, ya ununuzi wa ndege pia viwekwe hadharani, ili watanzania wafanye comparisons!!!
 
JK naye alikuwa na mambo ya hovyo sana, miswaada na mikataba ilikuwa inapitishwa bungeni tena usiku
Wakati inapitishwa kwa ghafla! nahuyu sialikuwa ni mBUNGE wa Ugambani? ulisikia akilalamika? adui wa nchi hii ni cccm
 
Rais Akisema hatuhitaji kusikia upande wa pili,
Besides, Kikwete was not Different from Uhuru Kenyatta and William Ruto.

Haijawahi kutokea nchi yoyote ikakubali masharti kama hayo, sio Afrika wala nje, masharti ya kikoloni kabisa, nchi ilikua imeuzwa, bado nashangaa Kikwete alikua kweli ameyakubali yote hayo.

Eti msiendeleze bandari yoyote kutokea Tanga hadi Mtwara, na mengine ya kiajabu ajabu ameyataja rais wenu. Kama kweli Kikwete anatazama hizi hotuba lazima anapata aibu sana.
Hii hadi tuwasklize wawekezaji, ni ngumu kumeza kama ilivyo.
 
On this project,I think he did the right thing to terminate the contract.Listening to him explain with a lot of bitterness shows how the Chinese wanted to milk the country dry.Hongera Magufuli!
 
Na katika gesi alichelewa, akakuta maji yameishamwagika.

Halafu unakuta kuna mpumbavu anajisikia vibaya kisa magufuli haongei kiingereza fasaha[emoji16][emoji16][emoji16], hapa ndio utajua kila binaadam ana kipaumbele chake.
 
"Natamani aingilie mikataba ya gasi pia, kule nako sijui kama tupo salama"Hata mimi natamani aingilie huku ingawa najua huku pia lazima kuna michezo imechezwa na hakuko salama...
Bila kusahau wa Catle
 
please my no 1,kipindi cha awamu ya nne wewe si ulikuwa waziri ?why hukuliona hili na kulizungumzia?njaa yako ilikupeleka usiyaseme haya?na please my no 1 tuelezee also kuhusu mauzo ya nyumba za serikali je yalikuwa above the board???
 
Kuna pahali Magufuli ameongea kuhusu bandari ya Dar, yenye project ya Sh1.2 trillion.. Amesema ''Tumekopa fedha, tunatumia fedha yetu.''.
Leo hii nimekuja kujua kwamba 'pesa yetu' ina maana tofauti Tanzania.
 
That was the best decision if those were the terms they gave, burdening your country and enslaving your people for generations to come so that you can have a shiny new port that will not not be fully utilized unless you shut down the other port.

It's like telling me to cut my hand so that you give me food.

Africans should vigorously develop their own local capacity esp in TECH, so that we stop relying on these scam leeches.
 
Mfa maji haachi kutapatapa...kuamini Magufuli inakuwa ni ngumu Sana bill kusikiza upande huo mwingine.
 
Mikatabba ya Kiwanja cha ndege cha Chato, ya Stiegler's Gorge, ya ununuzi wa ndege pia viwekwe hadharani, ili watanzania wafanye comparisons!!!
Kwani hiyo mikataba ni ya wawekezaji kutoka nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…