Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Ndio maana nikasema kuna moja kati haya mambo mawili
- Aidha muwekezaji amewekewa figisu, iwe kuna vitu mnaongeza tu ili kumkomoa, bora naye akapewa fursa azungumze na wana habari.
- Na kama ni kweli hayo masharti yalikua yamekubaliwa, basi Kikwete ni mtu asiyefaa hata kuongoza kama mjumbe wa nyumba kumi au kiogozi wa kata, maana hana huruma na nchi yake wala hata punje ya uzalendo, na pia CCM na uongozi wake wote ni hatari kubwa sana kwa nchi yenu, kwa tamaa yao walikua tayari kuiweka nchi rehani.
Maana haiwezekani ukatia saini mkataba unaosema bandari zote ulizonazo zisiendelezwe, hiyo yote kwa ajili ya bandari mpya kubwa ambayo hutakua na mamlaka nayo kwa miaka yote hiyo, hivyo humo watakua na ruhusa ya kufanya yao bila kukuhusisha, watapitisha chochote hum bila ya uhusika wa serikali ya Tanzania, hayo ni maamuzi ya kuifilisi nchi ambayo yenyewe tayari ni maskini.
Ni maamuzi ambayo hata sidhani kama enzi za ukoloni mababu zetu wangeyakubali pamoja na kwamba hawakua na elimu wala ujuzi. Waliohusika kwenye maamuzi ya kihivyo wote wanafaa wakusanywe na kushtakiwa uhaini.

Tatizo kubwa nchi yenu hiyo mumeingia kwenye ubepari kichwa nje nje bila hata kujua mfumo wenyewe unaendeshwa vipi, nyote mumekua na tamaa za kiajabu ajabu, hebu sikiliza hiyo hotuba ya rais, kwamba hata waliofidiwa kwenye ardhi ya Bagamoyo walikua makajanja wa Dar, sio wakazi wa Bagamoyo.
Apewe FURSA azungumze na wa Tanzania through media, kisha baada ya kuelezea "ukweli" ndio kura ipigwe kati ya kauli ya Rais na muwekezaji ipi ina mantiki au vipi?

Sababu hata maana ya kulia muwekezaji Apewe nafasi aongee siioni ni kwa manufaa gani na nini hatma baadae wakati serikali {the highest supreme} tayari imeshaonesha nia ya kutotaka hilo jambo.

Hizi akili sijui mnabadilishana na nini.
 
Rais Akisema hatuhitaji kusikia upande wa pili,
Besides, Kikwete was not Different from Uhuru Kenyatta and William Ruto.
Hao UK na ruto hawafiki hata nusu ya jk hahahaha jk alikua na sura nzuri tabasamu I
Zuri ila alichokua anawaza kichwaani mwake daa mungu amsamehee maana binadam tuna mapungufu
 
Kuna issue za mikataba ka hii mawaziri hawaambiwi kitu wanasema tuu serikal imekaa na wataalamu then wakasign kumbe wamesign uozo ... Msimlaumu waziri yeyote kwan aliesign hajui kua hayo mashart ni ya ajabuu
please my no 1,kipindi cha awamu ya nne wewe si ulikuwa waziri ?why hukuliona hili na kulizungumzia?njaa yako ilikupeleka usiyaseme haya?na please my no 1 tuelezee also kuhusu mauzo ya nyumba za serikali je yalikuwa above the board???
 
Kwani hiyo mikataba ni ya wawekezaji kutoka nje?
Sijajua kama ni wa nje au watanganyika. Hivi eti Wamisri, waturuki, wachina wanatoka nje au ni wazawa wa tanzania? Ninasahau sana
 
Kuna pahali Magufuli ameongea kuhusu bandari ya Dar, yenye project ya Sh1.2 trillion.. Amesema ''Tumekopa fedha, tunatumia fedha yetu.''.
Leo hii nimekuja kujua kwamba 'pesa yetu' ina maana tofauti Tanzania.
Alimaanisha katika mradi huo kuna hela kadhaa tumekopa na kadhaa za ndani ... Kiswahili cha kisukuma hicho hajakosea mzee
 
Uhuni wa China unafanana tena washukuru gas magu akakuta ameshachelewa wameanza itoa ila jk daa sio kwa ubinafsi huo alokua nao mweee..
And when Kenya cancels JKIA greenfield for almost related reasons, mnafungua thread kumi hapa kulia failed state. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The same way Bagamoyo would have been an overkill in terms of capacity, is the same way Greenfield would have been.
 
joto la jiwe si kitambo sana kakurupuka hapa akisema kuwa urafiki wa Tz na Uchina ni wa kutoka kitambo Sana na hautaisha hata sasa(CCM blind Mentality). Hii dunia hamna urafiki ni interests tu so Hii Mambo ya wafia chama ya kubwabwaja kuwa waliikomboa Afrika no upuzi mtupu...hope fools like mkorinto redeemer thisdayes have learnt a valuable lesson.
Nyinyi ndio wa kujifunza valuable lessons za kutokukurupuka kwenye mambo mapana kama haya

Hata kwenye Community mlizoea kutuita lazy and slow mpaka kuunda COW kwamba nyinyi ndio fast trackers, kipo wapi? Mbona hola tu wote hamna mbele wala nyuma.
 
Shamba la bibi, kuna mambo lazima tukubali Rais wetu anajitahidi sana kuyaweka vizuri na tumpe heko. Katika kulinda uridhi wetu kwa kweli nampa heko, anajitahidi sana.

Mikataba ya hovyo kama hii ni wizi wa mchana kabisa. Hamna maslahi kwetu kama watanzania. Hii mikataba kama ya mangungo ifutiliwe mbali.

Natamani aingilie mikataba ya gasi pia, kule nako sijui kama tupo salama.

Kama watakubaliana na mkataba ambao ni win win wajenge ila mkataba ambao hatufaidi chochote, hatuhoji chochote yaani tumeuza uridhi wetu kwa miaka 99 bila chochote watu wanachuma tu, tena bado turejeshe gharama na hatuna uwezo wa kufanya chochote mbadala, hapana kwa kweli..khaaa

Heko Rais, tuliendie urithi wetu tutakukumbuka kwa hilo.
ni upuuzi mtupu ni kutaka masifa tu sasa mm suwali langu ni hili huu uharo ni nani aliye uleta sio ccm ?
 
Dawa ya mikataba ni kuwa wazi na kupelekwa bungeni ikajadiliwe na wabunge bila kificho na hili litungiwe sheria kabisa.
 
Ni juzi tu Geza Ulole alifungua Uzi wa Bagamoyo Port vs Lamu Port na wengi wenu mlichangia kea mihemko na kejeli, hivi hamkujua conditions za mkataba huo? Jiwe alikuwa wapi nyakati zile ati Sasa amekuwa ndiye mwokozi? Sasa wengi waliounga mkono ujenzi ule Sasa pia wanaupinga na kumuunga mkono mhusika mkuu katika mkataba wa Bagamoyo.
Utambue tu bado walikuwa kwenye drawing board, overview willing ya hii project hakuna mwenye akili timamu angeikataa lakini nini kilichomo ndani yake {contract worthiness} ya mradi wenyewe

Sasa baada ya kutofautiana makubaliano ndio tumeamua tuliyoamua, sisi sio nyinyi mnaosign mkataba mbovu mpaka baadae mna kuja kujuta na kujiuliza kama zilikua ni akili zenu au mlirogwa.
 
Unakariri sana wewe kuhusu mifumo.

Mifumo inaleta maana kama watu wanatabia za kufuata taratibu, watanzania tulizoeshwa kuvunja sheria na kufanya mambo kiholela, angalia tuu barabarani ambapo tuna mifumo mizuri ya kuongozea magari lakini watu hawafuati sheria. Madereva wanapita kwenye taa nyekundu, hawasimami kwenye alama za pundamilia kupisha watembea kwa miguu, sasa huoni kuwa tabia zetu zinatakiwa kubadilishwa kwanza?
Kama huamini katika mfumo, wewe ndiye mwenyekiti wa wajinga. Kuna jambo gani ambalo laweza kufanikiwa bila kuwa na mfumo imara, mfumo unarithishwa kizazi hadi kizazi? Unadhani rais wako atatawala milele? Kwamba watanzania mmezoeshwa...sijawahi kusikia kauli ya kipumbavu kama hii! Labda umezoeshwa wewe, semea nafsi yako, na never make generalisation katika mambo ya kijinga. Hawa wanaoppose hoja yako hawajazoea kama inavyodhani. Tuweke mofumo madhubuti inayolindwa na katiba, asiwepo mtu ambaye yuko juu yake, hii ndiyo pona yetu. Hatuwezi kuendelea kwa mihemko ya viongozi. Angalia mfumo wa michezo ulivyoharibiwa na bwana fulani mashuleni. Wale ambao wanadhani wataweza kuendesha inchi bila mifumo madhubuti, wanaota ndoto wakitembea mchana kweupe.
 
Nyinyi ndio wa kujifunza valuable lessons za kutokukurupuka kwenye mambo mapana kama haya

Hata kwenye Community mlizoea kutuita lazy and slow mpaka kuunda COW kwamba nyinyi ndio fast trackers, kipo wapi? Mbona hola tu wote hamna mbele wala nyuma.
Lazy brats. Umekumbuka Uzi wa $11b Bagamoyo Port? Hebu fufua huo Uzi Kama huna aibu Babaa 🤔🤔
 
Acha urongo wako... eti, "wakenya wote wamepewa fursa", unamaanisha wakikuyu? Mbona mpaka leo mmewawekea wajaluo kauzibe kwenye serikali kuu?

Nyinyi mlio wahi mko wapi? Mna nini cha kutuzidi zaidi ya madeni?

Hiyo ya tamaa unayoisema kuna uwezekano ikawa ni 'sabotage'. kuna kamfumo kaliwekwa ili kuifanya Tanzania ije kuwa kama Kongo, ila tumewastukia.

Hayo ya kukaririshwa nimesema sitayajibu.

Hilo la kuwazidi baada ya sisi kuwahi, duh nikianza kutaja humu tumewazidi nini nitajaza server za watu bure, kuna nyuzi nyingi tu ambazo tulishafungua humu zinazo onyesha jinsi gani tumewazidi na kuwaacha mbali. Kikubwa na muhimu kujua ni kwamba nchi yetu ndogo na zaidi ya nusu yake ni kame tupu, hatuna madini wala raslimali nyingi lakini tumetawala ukanda wote huu kiuchumi, kijeshi, kielimu, miundo mbinu, utaalam na teknolojia na mengine mengi, yaani kuanzia Afrika kati, upitie hadi DRC uje mashariki mwa Afrika, upandishe hadi Ethiopia mataifa yote hayo hakuna iliyo mbele yetu kwa chochote.

Sasa uje kwa Tanzania, yenyewe kwanza ni muungano wa mataifa mawili, mna kila kitu, nchi kubwa yaani hadi uunganishe Uganda, Kenya, na Rwanda ndio itoshane na Tanzania, ardhi yote hiyo ina rotuba nzuri kona zote, madini ndio usipime, mna kila kitu lakini bado mnahesabika kwenye umaskini wa kutupwa, maana mlichelewa kushtuka na baada ya kuamka kiakili mkaingiwa na tamaa za kiajabu ajabu.

Utajiliwaza na mambo ya sabotage, lakini ndio ukweli, maana mikataba yote ya kiunyonyaji mumeingia wenyewe, tena uongozi na viongozi wakuu serikalini, hiyo CCM ndio mbaya wenu, ndio imewachelewesha na itawachelewesha hadi mtatia akili, leo hii hata huyo Magufuli akiongea sioni kikubwa maana yeye mwenyewe ni uzao wa hao hao CCM, wamemzunguka na ndio washauri wake.
Unaweza kukuta baadhi ya vitu anavitumbua kisa waliopiga 10% sio hawa waliomzunguka kwa leo, hivyo hawa wa leo wanampa ushauri bila nia ya uzalendo wala nini, ni ile tu kutafuta mbinu wapate kula wao.
 
Kama huamini katika mfumo, wewe ndiye mwenyekiti wa wajinga. Kuna jambo gani ambalo laweza kufanikiwa bila kuwa na mfumo imara, mfumo unarithishwa kizazi hadi kizazi? Unadhani rais wako atatawala milele? Kwamba watanzania mmezoeshwa...sijawahi kusikia kauli ya kipumbavu kama hii! Labda umezoeshwa wewe, semea nafsi yako, na never make generalisation katika mambo ya kijinga. Hawa wanaoppose hoja yako hawajazoea kama inavyodhani. Tuweke mofumo madhubuti inayolindwa na katiba, asiwepo mtu ambaye yuko juu yake, hii ndiyo pona yetu. Hatuwezi kuendelea kwa mihemko ya viongozi. Angalia mfumo wa michezo ulivyoharibiwa na bwana fulani mashuleni. Wale ambao wanadhani wataweza kuendesha inchi bila mifumo madhubuti, wanaota ndoto wakitembea mchana kweupe.
Usichoelewa wewe bwege ni kuwa mfumo bila watu wanaofwata sheria ni ubatili.
 
Usichoelewa wewe bwege ni kuwa mfumo bila watu wanaofwata sheria ni ubatili.
Hahahaha, kila mfumo lazima ujengwe juu ya sheria madhubuti. Ujinga huu unatisha, I cry for tou man.
 
Bila kutuonyesha mkataba uliokataliwa hata akija mungu siamini haya maneno , watuletee mkataba , na tuone basi hata bungeni uende hamna kitu mnatulisha sana matango pori
Hahhahaa ulioandika utadhani we ni makamu wa rais kumbe hata humu hakuna anaekujua hahaha... Nani atatekeleza mikwara yako et wassipoweka hadharan hutaamini as if kuna MTU kakuomba uamini hqhahaa.. Kazi sana
 
Kwanini hukufanya comparison masharti ya hiyo bandari???? Tatizo hamtaki kumuamini kiongozi na kumuacha afanye kazi, mmempa jukumu na kuongoza nchi basi muaminini
Unajua tunamuamini sana. Hata akisema wananchi wangu kuanzia leo tuanze kutumia vyumba vya kulala kujisaidia humo humo, tutafanya!!!!

Yeye si malaika, anakosea pia kama binadamu. Binadamu akikosea anaikosea jamii nzima, ndiyo maana huwa tunafanya reconciliation.
Kama madudu yameonekana hapo, kuonesha transparency, mikataba yote mikubwa iwekwe hadharani, siyo mmoja unafichwa na mwingine unaibuliwa. Mkataba wa Bagamoyo uliwekwa Awamu ya 4, lakini Awamu ya 5 nayo imeweka mikataba, nayo iianikwe tuendelee kumwamini.
 
Back
Top Bottom