Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakariri sana wewe kuhusu mifumo.
Mifumo inaleta maana kama watu wanatabia za kufuata taratibu, watanzania tulizoeshwa kuvunja sheria na kufanya mambo kiholela, angalia tuu barabarani ambapo tuna mifumo mizuri ya kuongozea magari lakini watu hawafuati sheria. Madereva wanapita kwenye taa nyekundu, hawasimami kwenye alama za pundamilia kupisha watembea kwa miguu, sasa huoni kuwa tabia zetu zinatakiwa kubadilishwa kwanza?
Jk na ccm ni genge la wahuni na wapumbavu tushukulu mungu kumpata raisi magufuli angalau ananyoosha nchi ccm na jk walikuwa ni SHARI KAMILI BOLA JPM NI NUSU SHARI hivi unauzaje nchi na usalama wake hiyo bandari ingetumika kutorosha tembo na wanyama na madini yetu nakuingiza sumu za kutuangamiza waafrica kikwete ni raisi aliye staili kunyongwa hadharaniJiwe ana mengi sana ya kumchana Jk..
Kwanza yakupasa uelewe bagamoyo ni homeland kwa huyo jk, hivyo chochote kinawezekana kabla hujaanza kuumiza kichwa sana.
Ndiyo maana mimi napendelea mfumo wa kiuchumi wa nchi kama za Scandinavia kwa kuwa zina aina fulani ya usafi, hii mifumo ya kimagharibi ina madhambi mengi nyuma yake. Mfano watu wanaongelea maendeleo ya waingereza huku wakisahau jinsi walivyowazuia wahindi kutengeneza nguo ili wapeleke pamba UK, viwanda vyao viimarike. Uchumi huo wa dhulma hauwezi kutamalaki, siku wanaonyonywa wakijanjaruka, uchumi unaporomoka.Tatizo kubwa nchi yenu hiyo mumeingia kwenye ubepari kichwa nje nje bila hata kujua mfumo wenyewe unaendeshwa vipi, nyote mumekua na tamaa za kiajabu ajabu, hebu sikiliza hiyo hotuba ya rais, kwamba hata waliofidiwa kwenye ardhi ya Bagamoyo walikua makajanja wa Dar, sio wakazi wa Bagamoyo.
Mtu kujenga kwao si dhambi maana kuna watz pia,ila isiwe kwa dhamna ya watz wote na rasilimali zao.Nafahamu huyo Mkwere alikua anajaribu kuvutia kwake, lakini sio kwa level ya kuuza nchi yote. Na hii imekua desturi kwenu maana jiwe naye kuna makubwa anazindua Chato, atakayekuja baada yake anaweza akayatumia kumchana kama anavyofanya kwa Mkwere.
Ukihamia nyumba iliyojaa uchafu utaanza kupanga makochi na kuweka mapambo ukutani au utaanza kuisafisha kwanza? Ngoja 2025 ifike ndio uanze hizo lawama.Anayebadilisha tabia za wenzake anaingia madarakani kwa mfumo wenye matatizo, na hayuko tayari mfumo huo ubadilike kwani anajua hata yeye hatakuwa na nafasi aliyonayo nayo. Kibaya zaidi yuko madarakani bado anatumia mbinu hizo hizo zenye mawaa, yeye na chama chake kuendelea kupata madaraka! Ajabu hili lipo Tanzania tu.
Ndiyo maana mimi napendelea mfumo wa kiuchumi wa nchi kama za Scandinavia kwa kuwa zina aina fulani ya usafi, hii mifumo ya kimagharibi ina madhambi mengi nyuma yake. Mfano watu wanaongelea maendeleo ya waingereza huku wakisahau jinsi walivyowazuia wahindi kutengeneza nguo ili wapeleke pamba UK, viwanda vyao viimarike. Uchumi huo wa dhulma wauwezi kutamalaki, wanaonyonywa wakijanjaruka, uchumi unaporomoka.
Umedokeza kuhusu sisi Kuingia kichwa kichwa wakati unasahau kuwa Kenya ndiyo mfalme wa kuingia kichwa kichwa Afrika mashariki.
Toka enzi zile za Mzee, mmekuwa mkiingia mazima na ubepari uchwara kwa kuruhusu watu wachache kujumilikia ardhi na hivyo kuleta matabaka yanayoondoa usalama wa nchi yenu. Umimi umekukaeni kichwani mnashindwa hata kuwa na usafiri wa umma Nairobi kwa kuwa wakina Sonko wanamiliki biashara matatu.
Uzuri Tanzania tunajifunza kutokana na makosa, watu wetu wa kazi wapo macho na walishaona tunakoelekea siko, wakauzima moto "professionally" (kama anavyopenda kusema Putin), tukapata Magufuli (aminia huyu mzee hakuja kwa bahati mbaya). Nyinyi bado mnaendelea kulishwa mavyakula msiyojua yamepikwaje, safisheni hiyo nchi, itaharibika kama Somalia ya Siad barre.
Hilo la kuuzwa kwa nyumba za serikali ni moja blunder kubwa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu, kwa bahati mbaya mkulu alihusika moja kwa moja kwenye hilo.please my no 1,kipindi cha awamu ya nne wewe si ulikuwa waziri ?why hukuliona hili na kulizungumzia?njaa yako ilikupeleka usiyaseme haya?na please my no 1 tuelezee also kuhusu mauzo ya nyumba za serikali je yalikuwa above the board???
That was the best decision if those were the terms they gave, burdening your country and enslaving your people for generations to come so that you can have a shiny new port that will not not be fully utilized unless you shut down the other port.
It's like telling me to cut my hand so that you give me food.
Africans should vigorously develop their own local capacity esp in TECH, so that we stop relying on these scam leeches.
Acha urongo wako... eti, "wakenya wote wamepewa fursa", unamaanisha wakikuyu? Mbona mpaka leo mmewawekea wajaluo kauzibe kwenye serikali kuu?Hamna kosa kwa nchi kuwa kwenye mfumo wa ubepari/captalism, sisi tulianza mapema hatukununa na umetusaidia pakubwa maana kila Mkenya amepewa fursa ya kutanua anavyoweza bila kulemazwa na mfumo. Hayo mliyokaririshwa na Nyerere kwamba Kenya imemilikiwa na wachache huwa sihangaiki kuyajibu maana hayana ukweli wowote, mlikaririshwa tu ili mfumbie macho mazuri ya ubepari na kubakia watumwa wa umaskini wa kijamaa, halafu cha kushangaza alikua anaachia waarabu na wahindi wamiliki kila kitu, leo hii Dar mjini utadhani yao.
Nyinyi mlio wahi mko wapi? Mna nini cha kutuzidi zaidi ya madeni?Tatizo, mumechelewa sana hadi mumekuja kukumbatia ubepari kama hamna ujuzi nawo, ni kama mtu ajizuie hanywi pombe wala anasa miaka yote ya ujana halafu aje kushtuka kwenye umri wa miaka 50 ndio anaanza anasa, mtu kama huyo huwa kichaa kwa jamii maana hufanya vitu vya kiajabu ajabu.
Hiyo ya tamaa unayoisema kuna uwezekano ikawa ni 'sabotage'. kuna kamfumo kaliwekwa ili kuifanya Tanzania ije kuwa kama Kongo, ila tumewastukia.Leo hii Watanzania mumejawa na tamaa mnafanya vitu ambavyo hata havijawahi kuskika kwenye nchi nyingine duniani, mnawachinja albino eti kutafuta utajiri, tamaa ya mali na utajiri inawafanya mnachinja hata watoto ili mtumie viungo vyao kwenye ushirikina wa kusaka utajiri, kipindi fulani mliua tembo hadi mkapigiwa makelele na dunia. Watu wenye roho kama hizo hata kuuza nchi wataiuza bila kupepesa macho, ndio maana utakuta nchi mumeingia mikataba ya ukichaa mtupu, mnaliwa kila kitu maana kila mtu ameingiwa na tamaa bila uzalendo wala huruma.
Ukihamia nyumba iliyojaa uchafu utaanza kupanga makochi na kuweka mapambo ukutani au utaanza kuisafisha kwanza? Ngoja 2025 ifike ndio uanze hizo lawama.
Wewe ni mfuata chama/ upepo, huna msimamo Magu ni Mungu kwako.Mtoe magu ktka mambo ya kipuuzi kama hayo, labda kama umemjua baada ya kuwa rais 2015.
Huyu mtu mna chuki naye, lakini isiwe sababu ya kumpaka ubaya kwa gharama,
Mimi ni mtanzania.Wewe ni mfuata chama/ upepo, huna msimamo Magu ni Mungu kwako.
Mtanzania mpumbavu afadhali ungekuwa Ng'ombe ukamuliwe maziwa angalau ungekuwa na faida.Mimi ni mtanzania.
Huo ndio ukweli aliepita kafanya mengi sana ambayo hata kutaja hapa aibu yaani... Kikubwa kilikuwa kikundi cha kibinafsi kisichojali watanzania wala future ya nchii..Ameongea kwa uchungu mwingi hadi nimemhurumia mzee wa watu, sio kwa wawekezaji, sio kwa Watanzania, kila mtu mpigaji. Makajanja wa Dar walikwenda Bagamoyo wakatia kapuni mabilioni ya hela na kuwaacha wazawa na wakazi wa Bagamoyo mikono mitupu, nao wawekezaji wanaonekana kuja na masharti ya kiajabu ajabu.
Lakini tatizo hamsemi kimoja mueleweke nini sababu haswa za kusitishaa huo mradi, maana hapa rais amesema mengi ambayo hayajawahi kutajwa kati ya yote ambayo huwa mnayasema, halafu kama kweli hajaongeza chumvi, then ina maana rais Kikwete alikua anairubuni nchi yenu, kama kweli Kikwete alikubaliana na yote hayo yaliyotajwa humo, aisei nitamshangaa sana huyo rais wenu wa zamani, alikua ameipokeza nchi kwa watu mchana peupe.
Japo pia ni vigumu kuamini ukweli bila kuskliza upande wa pili, maana kila siku tunaskia ya nyie, hatujaskia naye muwekezaji kama kweli alikua na masharti kama hayo ya kuikoloni na kuifilisi nchi ya Tanzania.