Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo alimwambie achukue fomu ili kuulinda huo mkataba au?amini usiamini! hichi ndicho kikichomfanya JK amwambie JPM achukue fomu ya Urais! JPM hakuletwa na Mkapa! Mkapa alitumika tu ili watu wasionw ikaribu wa JK na JPM
Mwenye nchi mwananchiWewe Kama Nan mpaka uonyeshwe mikataba au nyie ndio walev mnao zungumziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha kawapiga chenga ya mwili wachina.Kwahiyo alimwambie achukue fomu ili kuulinda huo mkataba au?
Ooh, okayAnamaanisha kawapiga chenga ya mwili wachina.
Ila JK kasaini mikataba utadhani alikuwa mlevi kweli, 10% mbaya sana
Wewe ndye mlevi na mpumbavu unaambiwa vitu hewa unaamini. Mikataba mikubwa ya namna iyo hujadiliwa na bunge nje ya hapo ni batili.Wewe Kama Nan mpaka uonyeshwe mikataba au nyie ndio walev mnao zungumziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana. The guy is smart