Tukumbushe comrade ni lini aliagiza hao watu kibao wawekwe mahabusu? Tutajie na majina yao.Wapo watu kibao wanasota mahabusu tena kwa amri yake!
Watakujibu watu wa mahakama!
Comrade unaweza kuileta hapa hati ya mashitaka ya hao masheikh zaidi ya 70 wote tukasoma kuwa wameshitakiwa kwa kuipinga BAKWATA??!Waachie masheikh zaidi ya 70 huko Arusha ambao wako ndani bila kosa lenye mashiko, eti kosa lao ni kuipinga BAKWATA
Comrade unaweza kuileta hapa hati ya mashitaka ya hao masheikh zaidi ya 70 wote tukasoma kuwa wameshitakiwa kwa kuipinga BAKWATA??!
Unatumia kigezo gani kusema hazina mashiko? Tuwekee hapa hati ya mashitaka ili tujiridhishe comrade.Ni kesi za kubambikiza tu zisizo na mashiko
Nimemjibia DPP!Sasa wewe ume wajibia Mahakama kama nani ?.Sababu umesema Makosa yao yapo dhahiri.
Hakuna kitu, just simple popularity.Huo ndo uzuli wa huyu mzee mwenzangu japo ana mapungufu yake kama binadam lakini moyo wa huruma anao
Unatumia kigezo gani kusema hazina mashiko? Tuwekee hapa hati ya mashitaka ili tujiridhishe comrade.
Nao ni wafiwa? Maana huyu ni mfiwa, moto umeua watoto wakeAkina Nusrat nao atatangaza lini waachiwe?
Shutuma umeandika wewe halafu unataka nikamuulize DPP kama ni kweli au sio kweli??! Comrade Jf sio kichaka cha kuandika uongo na uzushi.Kamuulize DPP, sitembei na mafailinya kesi ila najua nyingine ni za kubambikiza tu kwa makosa yasiyokuwepo, na hili la Masheikh ni mfano mmojawapo
Bakwata ipo kisheria wao wanaanzaje kuikataa?!Kamuulize DPP, sitembei na mafaili ya kesi ila najua kesi hii na nyingine ni za kubambikiza tu kwa makosa yasiyokuwepo ili kulinda maslahi binafsi ya kisiasa ya watawala, na hili la Masheikh ni mfano mmojawapo
Bakwata ipo kisheria wao wanaanzaje kuikataa?!
Basi wahukumiwe kwa mujibu wa sheria badala ya ukatili unaofanyika wa kuwasotesha mahabusu - wengine sasa miaka zaidi ya mitano kwa kisingizio cha upelelezi kutokamilika. Huu ni uvunjifu wa haki za kibinadamu na kikatiba.Hao makosa yao yako dhahiri!
Bakwata ndio taasisi kuu ya waislamu wote!BAKWATA Inajaribu kuingilia mambo ya Taasisi nyingine za waislamu ambazo nazo zipo kisheria, wakipinga hilo, BAKWATA inaenda kwa "handlers" wake yaani Serikaki ya CCM kuwashughulikia kinyume cha haki
Rais ni amiri jeshi mkuu!Kwahiyo sasa ndio tunaamini kama polis ni tawi la ccm wanachoambiwa wanafanya
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Bakwata ndio taasisi kuu ya waislamu wote!
Je Rugemalira na Singh?
Akina Nusrat nao atatangaza lini waachiwe?