Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

Rais Magufuli ataka Polisi kumwachia mmiliki wa shule ya Waislamu Byamungu iliyoungua Kyerwa wakati wakiendelea na upelelezi

Rais Magufuli amelitaka Jeshi la polisi kumtoa mahabusu mmiliki wa shule ya Waislamu iliyoungua moto huko Kyerwa mkoani Kagera wakati wakiendelea na upelelezi.

Rais Magufuli amesema siyo rahisi mzee huyo anayemiliki shule kuwahujumu watoto anaowalea hivyo ni vema uchunguzi wa kina wa tukio hilo ufanyike yeye akiwa nje.

Juzi IGP Sirro aliagiza kukamatwa kwa mkuu huyo wa shule, afisa elimu na wakaguzi wa elimu kama sehemu ya upelelezi.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama
Yeye mwenye mkurupukaji
 
Utawala usiofuata sheria,huwezi kumkamata mtuhumiwa mpaka amekuwa linked na kosa na tuelewe upo innocent hadi pale courts of law utakapoamua,tukiambiwa tunaishi in a shithole country tunanuna!
 
Back
Top Bottom