Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
How aisee??me naona sawa tu maana ana vita kubwa sanaaaa na mabepari wengi hawamtaki hâta kumuona maana kaharibu deal nyingi sana na anaendelea kuharibu,so self defense sio mbaya kwake kama ikitokea baadhi ya mlinzi kazingua anaitumia tu,kumbuka Sokoine Ilikuwaje...I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Kennedy alikufa kwa ajili ya kujiamini sanaaaaa na walinzi wake na CIA wanaomlinda lakini mwisho wa siku aliuliwa na hao hao kwa manufaa ya mabepari walikuwa katika serikali ambao walikuwa wanaona Kennedy anazingua na mifumo yake,so kwa Magu me naona poa tu,self defense ni muhimu kwakeHii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Dua la kuku halimpati mweweI wish siku moja hiyo bastola imlipukie, Kesho nikienda kazini, namimi nitabeba yangu
Kweni kabla hajawa rais kwa nini hakupata hyo hasira aje aipate ghafla sasa hv?yani waTZ bwana dah!Hakutakiwa kuhakiki,alitakiwa kurudisha.Na alitakiwa kurudisha kabla hata ya kuingia Ikulu.Hivi akipata hasira yupo chumbani akammaliza mtu humo ndani inakuwaje??
Hujaniconvince bado,inakuwaje RAIS amiliki silaha.
Wakuu,
kutembea na silaha na kumiliki silaha mnavichanganya. JPM amewakilisha silaha anazomiliki zihakikiwe na ndiyo agizo la RC kwa wakazi wa Salidarama
Nimeshangaa aisee, dubwana hiloo kama la medani vilee
Rais yuko juu ya sheria, sasa yee kaenda kutii sheria ipi?
Hata hivyo sidhani kama kulikuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo.
Hasa kitendo cha kuonesha silaha hadharani na mapicha juu juu
Wacwac ndo akili
Kwani unajua kainunua lini? Pengine anayo miaka mingi iliyopita
Kwa hiyo atakayealiza ndo muhimu sana zaidi yake? Ue ndo rais! Kama atamaliza mtu huko ila ye atabaki poa tu!
Jokes aside: Nina uhakika kabla ya kupewa silaha lazima wajiridhishe kuwa una akili timamu.
Bawacha bhana hizo silaha Rais alikuwa nazo kabla hata ya kuwa Rais....
Manaake na walinzi wake wakahakiki silaha pia, this is silly,serikali kuu inacheza michezo ya sanaa,mkuu wa mkoa kwa rais? Mkutugenzi wa tiss akahakiki, cos lazima anayo, igp, general,judge mkuu, manake wote wakazi wa dar.
Wewe tu ndio unapata shida kuelewa, lakini mimi na walinzi wake walaaa! Yaani utasema umeanza kumjua magufuli baada ya kuwa rais.
acha ushamba kijana kwan halo cha ajab no kipi?
Kennedy alikufa kwa ajili ya kujiamini sanaaaaa na walinzi wake na CIA wanaomlinda lakini mwisho wa siku aliuliwa na hao hao kwa manufaa ya mabepari walikuwa katika serikali ambao walikuwa wanaona Kennedy anazingua na mifumo yake,so kwa Magu me naona poa tu,self defense ni muhimu kwake