Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Kwani unajua kainunua lini? Pengine anayo miaka mingi iliyopita
 
Aaaaaah!! weweeeee....!!!! asante prezidaaaa wetu kumbe uko vizuri hivo!
 
Hakutakiwa kuhakiki,alitakiwa kurudisha.Na alitakiwa kurudisha kabla hata ya kuingia Ikulu.Hivi akipata hasira yupo chumbani akammaliza mtu humo ndani inakuwaje??

Hujaniconvince bado,inakuwaje RAIS amiliki silaha.
Kwa hiyo atakayealiza ndo muhimu sana zaidi yake? Ue ndo rais! Kama atamaliza mtu huko ila ye atabaki poa tu!

Jokes aside: Nina uhakika kabla ya kupewa silaha lazima wajiridhishe kuwa una akili timamu.
 
Hili ndilo kosa litakalompa taabu ktk utendaji. Kila wakati, kila kitendo, kila sifa unataka iwe yako! Sasa tutamuona ni mtu regular na hata akitoa amri itakuwa ni mazoea tu. Hili yabidi ashauliwe. Hatuhitaji kujua kama amehamia ikulu na bunduki mbili.

Lowas alipopanda daladala ikaonekana anatafuta sifa za bure, sasa huyu na ikulu ina taabu sana!

Kabisa mkuu, watu wanashabikia tu ila hii tabia inashusha mno hadhi ya urais!!!
 
Magufuli hii imezidi... Unatumia nguvu sana kubaki kwenye media....

Vipi majipu yameisha? Too much aisee.
uwazi na ukweli ili muone kila anachofanya, sasa akificha mtalalamika, anawaoneshe mnalalamika, binadamu hariziki kweli.....au ndo shule???
 
Rais yupo fiti kila IDARA,push up;uzoefu wa kushika Silaha sawa na rais Putin wa Russia
 
Putin anatembea na heavy caliber pistol machine. Anapoenda kwenye mazoezi anaovua kutoka kwenye mkanda wa begani mbele ya walinzi wake.
Bunduki kubwa ni riffle 375 ambayo ni bunduki ya kuwindia. Pistol ni silaha ambayo viongozi na wananchi wengi wanazimiliki hivyo ukichukua historia ya uongozi wa Rais Magufuli lazima alikuwa anamiliki hiyo pistol.
Kwa sheria ya umiliki wa silaha Rais Magufuli kama ataona haja ya kuwa na hiyo pistol basi anatakiwa airudishi police. Lakini ni lazima?
 
uwazi na ukweli ili muone kila anachofanya, sasa akificha mtalalamika, anawaoneshe mnalalamika, binadamu hariziki kweli.....
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?

Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?

Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
anatumia uwazi na ukweli ili muone kila anachofanya, sasa akificha mtalalamika, anawaonesheni mnalalamika, binadamu hariziki kweli..... au ndio ulimbukeni wenu unapoanzia, eti unamwita Raisi wako limbukeni hebu jiangalie kwanza toka unyayo mpaka utosini halafu jipe jibu nani ni limbukeni????kasema anaonesha njia ili raia wake wafuate, jamani kipi hakijaeleweka? hii si rocket sayansi kwa kushindwa kueleweka somo rahisi kabisa
 
uwazi na ukweli ili muone kila anachofanya, sasa akificha mtalalamika, anawaoneshe mnalalamika, binadamu hariziki kweli.....au ndo shule???

Nani kawahi lalamika kuwa Rais kaficha silaha? Kwanza hata kujua nilikua sijui kama nayeye anayo achilia mbali kulalamika.....

Hata hivyo hizo ni minor issues zisizonisaidia chochote.....

Acha kuwa kama funguo Malaya kila kufuli unafungua.... Panua ubongo huo uliochafuka kama kimba utapata akili za kuchangia kwa weledi shume wewe.
 
matusi ya nini kama umesoma? clearly wewe ni mbwa kama picha yako kwa hiyo hakuna haja ya kujibishana na mnyama...
 
7.jpg

Leo, Rais wetu mpendwa , amekuwa raia wa kwanza kuhakiki silaha zake kutii agizo la Mh. Makonda. Jambo la kujifunza ni ulinzi binafsi hasa kwa viongozi wetu wakuu. Waache kutegemea body guard, hawa ndio waliokatisha uhai wa The late Desire Kabila....!
Desire Kabila ni nani tena???
 
Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Bawacha bhana hizo silaha Rais alikuwa nazo kabla hata ya kuwa Rais....
 
Bro Magu nazani anaelewa anachokifanya, Kukaa kwenye media ni sahihi huwa tunamiss mno akitulia
 
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.

Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.

View attachment 331523 View attachment 331522
View attachment 331524 View attachment 331525 View attachment 331526
Wana JF,
Kusema kweli mwanadamu ni kiumbe wa ajabu! Upo msemo usemao "akili ni nywele kila mtu ana zake" huyo mtu anaesema Rais anatembea na silaha anashindwa kufikiria ya kwamba Magufuli alipanga kuhakiki silaha zake kutekeleza amri ya mkuu wa Police hivyo abebe mitulinga yake? Alitegemea abebe Bastola ndani ya kikapu na sio kiunoni kama ilivyo desturi na kanuni ya silaha hiyo? Silaha hiyo ni dhahiri anayo tangu akiwa Waziri, hii ni dhahiri kiongozi yeyote wa serikali au mfanya biashara yeyote mwenye uwezo sheria inamruhusu kuwa na silaha ya kujilinda " Self defence" sasa Magufuli angetupa silaha yake baada ya kuwa Rais kwamba ana walinzi?
Wazee tunapojajili mada katika jamvi hili tujitahidi kutoka maneno ya busara ili tusijidhalilishe na kuonekana hatuna akili!
 
Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Manaake na walinzi wake wakahakiki silaha pia, this is silly,serikali kuu inacheza michezo ya sanaa,mkuu wa mkoa kwa rais? Mkutugenzi wa tiss akahakiki, cos lazima anayo, igp, general,judge mkuu, manake wote wakazi wa dar.
 
matusi ya nini kama umesoma? clearly wewe ni mbwa kama picha yako kwa hiyo hakuna haja ya kujibishana na mnyama...
Mbwa ni wewe unayekula kila kitu!! Kila kitu unasifia tu upo kama funguo Malaya inayofungua kila kufuli!!!
 
Back
Top Bottom