Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Kabisa mkuu, watu wanashabikia tu ila hii tabia inashusha mno hadhi ya urais!!!
Hivi si vitu vya kuvifanya rais, tegemea mawaziri wake wote, wakurugenzi, na wengineo, waite media wafanye kama yeye, then what?, absurd, angalau ningetegemea aseme wakuu wa mikoa wote watoe maagizo kama makonda walau ningemuelewa,ila hiki anachofanya?, ni cha kustaajabisha fikra.
 
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Mkuu,
Mbona una imagination za ajabu?
Kusema bastola kiunoni ili hali akijua anapeleka kuhakiki umeishaichukulia kwamba anaibeba kila siku?
Alipewa silaha ya nini? Aliambiwa ukiwa Rais usitembee nayo?
Jaribu kufikiria mambo kama mtu kwenye akili.
 
Nadhani silaha alikuwa nazo tangu kabla hajawa rais. Suala ni kuwa kuna umuhimu wa kuendelea kutembea nazo hadi kipindi hiki ambapo kazungukwa Na walinzi kila kona??
People Dont even trust their own shadows...sembuse walinzi..
 
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?

Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?

Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Ulishawahi kuwa hata kiranja shuleni??? Kaonesha mfano jombaa ninyi vipi?

Aaggghrrrrr... Ni wabishi hadi mnachefua
 
Mimi ni mpinzani wa Magufuli ila hili la kupiga picha sioni tatizo lake ,nadhani amefanya hivyo ili kesho au keshokutwa atakapo hitajika waziri fulani ama Jakaya ama Kova alete silaha zake isiwe tatizo

Kaka,
Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa, na tumejaa ujuaji.
What Magufuli did is merely a political metaphor; he's just trying to show an example.
 
Kaka,
Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa, na tumejaa ujuaji.
What Magufuli did is merely a political metaphor; he's just trying to show an example.
Ndugu yangu acha tu nadhani tutaelekezana tu hivi hivi tutafika ,Kesho au keshokutwa Magufuli akitumia Public washroom nayo itakua habari kwanini kafanya hivyo
 
Mtu ambaye anasema rais anatafuta umaarufu nashindwa kumuelewa. Wewe na rais nani maarufu? Kuna mtu asie mjua rais nchi hii? Wengine wanalalamika rais kutmia media, kwani hii JF mnayotumia ninyi sio mefiia au tatizo kutumia rais? Wambieni hao mefidia wasiwe w
 
Mtu ambae anasema rais anatafuta umaarufu nashindwa kabisa kumuelewa. Hivi kuna mtu asiemjua rais nchi hii. Agizo limetolewa kwa wakazi wa Dsm na yy pia ni mkazi, ana haki ya kukaguliwa. Hii JF tunayoitumia ni media, na tunashinda humu kutwa kucha, rais akionekana mara moja kwa mwezi nongwa. Sasa sisi na rais nani anatumia sana media? Mtu yupo Jf, twita, fb, insta, tango nk halafu bado unalalamika rais anatumia sana media. Mwacheni rais apige mzigo na ikibidi wambieni mefiavwasiwe wanaenda ili msimuone. Wangine wenye siraha waunge mkono jitihada. Mi nna panga tu sijui nalo wanakagua nipeleke
 
Tatizo lingine anataka kutwambia national security ikoje?,he doesnt trust he's own guys, hivi angekuwa rc wa tanga, simiyu, au mbeya ametoa hilo agizo angefanya hivyo?, kuna maswali mengi sana ya kujiuliza, hafanyi mambo INTELLECTUAL... Serikali hii we got lots of things to ask ourselvess
 
us-presidents-guns-in-pictures.jpeg

ktrk_020213_presidentswithguns (4).jpg
clinton.nocrop.w529.h848.jpg
us-presidents-guns-in-pictures.jpeg
article-2272675-17507844000005DC-966_1024x615_large.jpg
Hawa ni Maraisi wa Marekani.
The Richest Empire on the Planet.
ktrk_020213_presidentswithguns (4).jpg
clinton.nocrop.w529.h848.jpg


CC: UncleBen
 
Kua nayo ni kitu cha kawaida sawa coz anaweza akawa anamiliki toka enzi izo sawa ila toka uone marais wa nchi za ki democracy ni rais yupi ameonyesha hata magazine tu au risasi kwa mkono wake toka kwenye mwil wake najua tanzania sio nchi ya demo cracy tena kisa maana yake people power ambayo ni slogan ya chadema mbona hao wengine awajafanya kama ye napata shaka ata kisa cha ye kuvaa gwanda dalili nyingine hii
Elimu Elimu Elimu! Ina maana hujui kwa nini leo ndo kaionesha na kwa nini??
 
Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.

Wewe tu ndio unapata shida kuelewa, lakini mimi na walinzi wake walaaa! Yaani utasema umeanza kumjua magufuli baada ya kuwa rais.
 
Hao marais unaowaonyesha silaha kwao zinanunuliwa kama unavyonunua hindi la 100,unaulizwa tu una akili timamu, umetimiza miaka 18?,then unapewa silaha hapo hapo, tz sasa, silaha unanua kibali kupewa na serikali eheheh vituko, sasa rais sijui anataka kutueleza kitu gani wallah, obama peke yake amethubutu kubadilisha sheria za matumizj ya silaha marekani, na amepata upinzani mkubwa sana kwa makampuni yanayouza silaha, rais wa marekani, china, russia, popote pale dunia zilizoendelea akishika silaha hivyo na media,anatangazia hiyo silaha ubora wake, sasa magu anashika short gun na glock 26 alafu watu wako hawatengenezi hata silaha,absurd
 
Anachotaka Magufuli ni kuwa kila MTU hasa kiongozi ahakiki silaha! Sasa ole wako wewe kiongozi ujifanye kinyaa kuhakiki silaha wakati bosi wako ameonyesha mfano!
 
Back
Top Bottom