miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
nadhani gizi alinunua kabla ya kuwa raisi,, sasa katimiza wajibu tu wakwenda kuzihakiki kama agizo la mkuu wa mkoa alivyotangaza ,....Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.