Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hahahaah hivi Malima kapotelea wapi aisee??Sasa si kaenda nyumbani kuchukua silaha yake ,ulitaka nani ambebee ?? ADC au ?? Mimi nasuburi kuona Malima akijitokeza na SMG yake kwa ajili ya uhakiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaah hivi Malima kapotelea wapi aisee??Sasa si kaenda nyumbani kuchukua silaha yake ,ulitaka nani ambebee ?? ADC au ?? Mimi nasuburi kuona Malima akijitokeza na SMG yake kwa ajili ya uhakiki
Vitu vingine muwe mnawaza nje ya box, hiyo ni silaha anayoimiliki kihalali, ni yake, kwa hiyo shida ni kupiga picha na misifa anayoitaka?Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
HahahahahahSasa si kaenda nyumbani kuchukua silaha yake ,ulitaka nani ambebee ?? ADC au ?? Mimi nasuburi kuona Malima akijitokeza na SMG yake kwa ajili ya uhakiki
Wewe utakuwa kajipu ka UJAMBAZI!Magufuli hii imezidi... Unatumia nguvu sana kubaki kwenye media....
Vipi majipu yameisha? Too much aisee.
mkuu naona kama anakasilaha kadogo nadhani hako kakanunua mwenyewe,.. ,.. na ujue silaha ni mali ya mtu binafsi kama gari ..
Mimi ni mpinzani wa Magufuli ila hili la kupiga picha sioni tatizo lake ,nadhani amefanya hivyo ili kesho au keshokutwa atakapo hitajika waziri fulani ama Jakaya ama Kova alete silaha zake isiwe tatizoYaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Hata kama unaibakiza nyumbani peleka ikahakikiwe..Na mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
Ahsante kwa Ku comment.Wewe utakuwa kajipu ka UJAMBAZI!
KWAKWELI MWAKA HUU HAMNA KICHAKA!
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Why not media?! Rais sio raia wa kawaida kama wewe tom & jerry; he is a public good; kila anachokifanya public ina interest ya kujua na yeye kupeleka ujumbe mahsusi kwa wananchi kupitia tukio husika kama hili la silaha. Rais wa marekani husafiri with a plane load of media crew kwa sababu hiyo hiyo; for the consumption of US citizens and the world at large and likewise kila media house kubwa hapa duniani ina white house correspondent wa kudumu pale Washington na muda huu tunapolumbana wote wako Cuba with Obama!Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?