Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ha hahaaaaUnless kama heading ya post hii hujaielewa, maagizo ya Makonda wenye silaha waziwasilishe polisi zihakikiwe. ulitarajia afanyeje azitume kwenye Whasapp??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha hahaaaaUnless kama heading ya post hii hujaielewa, maagizo ya Makonda wenye silaha waziwasilishe polisi zihakikiwe. ulitarajia afanyeje azitume kwenye Whasapp??
Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Halafu waandishi wa habari wa nini sasa huyu bwana anaanza kuniboa kwa kupenda publicity waii!I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Kwa hiyo ukiwa na walinz ndio haupaswi kumiliki silaha?Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Ngoja nikumegee kidogo,hakuna rais asiyekuwa na silaha.Walinzi wa jamaa lazima watakuwa na tumbo joto ukute hawakujua Raisi anatembea na yake ili kitachhotokea atumie
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Teh teh Museveni yeye alikua na AK 47 kabisa wakati wa uchaguzi ,seuze Magufuli na hiyo shotgun yakeNgoja nikumegee kidogo,hakuna rais asiyekuwa na silaha.
Tena yake huwa kali kuliko hata za walinzi wake.
Naomba niishie hapo,sitaki maswali.
Hili ndilo kosa litakalompa taabu ktk utendaji. Kila wakati, kila kitendo, kila sifa unataka iwe yako! Sasa tutamuona ni mtu regular na hata akitoa amri itakuwa ni mazoea tu. Hili yabidi ashauliwe. Hatuhitaji kujua kama amehamia ikulu na bunduki mbili.Magufuli hii imezidi... Unatumia nguvu sana kubaki kwenye media....
Vipi majipu yameisha? Too much aisee.