Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Zoezi la kuhakiki silaha likifika Biharamuro na Ngara kuna watu watatoka na vifaru. Tehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilasiku tunasema serekali ya Maigizo na Mazingaombwe inaendeshwa na Tv na MagazetiAnaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
SIFA. anapenda sana sifa kama Mcharo.Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
sawa, tutapeleka . mkuu kaanza nasi tufate,Japokuwa huwa sikubaliani na mambo mengi ya Jpm ila sioni shida kwa kutokea katika picha na huo mkwaju. Raisi ni kiongozi wetu ambaye anatuonyesha mfano wa kutii mamlaka za serikali na bastola inakaa kiunoni na sio mfukoni au kwenye mkoba!!!
Na mwisho kuipeleka silaha yake kukaguliwa haina maana kwamba anatembea nayo kila siku au hana imani na wanaomlinda,inawezekana alishaimiliki kabla hata hajakuwa presidaa.
NB, pelekeni mikwaju yenu kwa ukaguzi ndugu.
Niliwahi kusema, kama unataka uwe mpinzani kwenye serikali ya Rais Magufuli lazima kwanza uvae ujinga ili uwe kama kituko kifikra au uwe mpumbavu.
Kuna baadhi ya watu hawafahamu kuwa vyombo vya habari vimekuwa embedded Ikulu na kwa maana hiyo kila anachokifanya Rais kwenye public kinakuwa kwenye media. Hii ni age ya Information technology na wananchi wanapaswa kuhabarishwa anachokifanya Rais kama citizen number one and public figure.
Kuna wengine hawafahamu kuwa ni marufuku kisheria kubeba silaha ya mtu mwingine au kumpa mtu mwingine akubebee silaha yako.
Baadhi ya watu wamekosa madhaifu ya Rais Magufuli na wanachokifanya kwa sasa ni kupiga kelele za kijinga.
Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Anaapenda sana kutumia media kwa kila kitu, why media?
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Vipi walinzi wakimgeuka....unataka ashindwe kunitetea?I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Kwani alipewa silaha zake kama Amiri Jeshi Mkuu.We jamaa ulivyo na akili mbovu hata kama Rais akifanya madudu gani utayageuza kuwa sifa nzuri!
Uliwahi kuskia wapi Amiri Jeshi Mkuu anakaguliwa chochote achilia mbali silaha?kama yeye akikaguliwa inamaanisha kuna Rais mwingine aliye juu yake ambaye hamuamini.
Kwa nini isiwe other way round.Mzee anapenda sana media daaah
Tatzo lako huelewi...limetilewa tangazo kwamba silaha zote lazma zihakikiwe UPYA ndani ya siku 90 sasa raisi amefanya loss gani kuhakiki silaha zakeKwani alipewa silaha zake kama Amiri Jeshi Mkuu.
Kwani mpaka usikie sehemu nyingine ndio ufanye suala lolote? Hizi ni skili za copy & paste.
Wewe vipi?