Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Tatzo lako huelewi...limetilewa tangazo kwamba silaha zote lazma zihakikiwe UPYA ndani ya siku 90 sasa raisi amefanya loss gani kuhakiki silaha zake
Sasa mimi sielewi nini?

Inawezekana unachokiandika kina maana ile ile ya kile nilichokiandika.

Ingekuwa vizuri kama ungesoma kwanza mtiririko wa mawazo yangu kimantiki katika comment zangu!
 
Magufuli umezidi sasa, tulikuchagua tu kwakuwa hatukuwa na namna. Laiti Dr. Slaa asingebadilishiwa gia angani.....
 
Na mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
Jamani ebu tujaribu kufikiri kidogo, tusiwe wavivu kiasi hiki, yeye kama mkazi wa Dar es salaam, alitakiwa aifikishe vipi polisi kwa ajili ya kuihakiki? Au wangemfuata nyumbani kwake ikulu?
Kwanza hiyo/ hizo silaha anazimiliki kabla ya kuwa rais, hata Aden Rage anayo, viongozi wengi wanazo.
Alichofanya rais ni kwenda kuihakiki kama ilivyotakiwa na mkuu wa mkoa, sio kwamba huwa anatembea nayo na pia lengo lake ni yeye kama C-in-C wa nchi ni kutoa hamasa kwa wengine wamiliki, ndio maana kaenda public.
Ebu tufikiri kidogo wajameni.
 
Watanzania wengi uwezo wa kufikiri ni majanga. Siamini wanavyofikiria watu humu jf. Kuelimishana na kuwezeshana kufikiri kimantiki bado ni safari ndefu sana.
 
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?

Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?

Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.

Maigizo na kupenda media attention
 
Makonda ni mkuu wa mkoa wa dar. Kila anayeishi dar bila kujali wadhifa wake, ulofa au utajiri analazimika kutii hiyo amri. Kama rais magufuli anamiliki silaha, analazimika kuisajili. na analzimika kuonyesha mfano wa kutii amri bila shuruti. sioni tatizo liko wapi.
 
Hope alitakiwa kuirudisha.Imenipa shida kidogo kwamba hawaamini walinzi wake.Halafu mbona lisilaha lenye kubwa mno.
Wakuu,
kutembea na silaha na kumiliki silaha mnavichanganya. JPM amewakilisha silaha anazomiliki zihakikiwe na ndiyo agizo la RC kwa wakazi wa Salidarama
 
Magufuli hii imezidi... Unatumia nguvu sana kubaki kwenye media....

Vipi majipu yameisha? Too much aisee.
Lusungo Na makada wenzio. Mnalalamika Ngosha anatumia media.
Wakati weye uko ktk hii media ya JF kila kukichwa. Umeandika post 13,840 Sasa kati ya weye Na Mzee Ngosha Nani anatumia nguvu za media?
Mijitu mingine bhana !!!!!!!!!
 
Mkuu fikiria kidogo, silaha zinakaa nyumbani tu hapo amezileta kwaajiri ya uhakiki tu
Kweli Watanzania Wengi Wetu Ni Misukule Ktk Kutumikia Siasa! Ww Na Hao Wanakupa Likes, Nani Aliyekuambia Kuwa Magufuli Alizipeleka Kituo Cha Polisi Kufanya Hilo Zoezi!!!!!?? Hebu Mtuambie Ni Kituo Gani Hicho!!!?? Maana Taarifa Zinasema Alifuatwa Nyumbani Kwake Kuzikagua Na Waliandaa Mazingira Hayo Yanayonekana!!! Someni Kwanza Vizuri Post Kabla Kumjibu Mtu!!
 
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
mkuu hizo ni sifa za kijinga anazitafuta!.ile kazi hata ingefanyika bila media wala yeye kuhusika moja kwa.moja! anataka kuonyesha kuwa kamanda[emoji12]
 
Watanzania wengi uwezo wa kufikiri ni majanga. Siamini wanavyofikiria watu humu jf. Kuelimishana na kuwezeshana kufikiri kimantiki bado ni safari ndefu sana.
patronizing! kwa hiyo wafikiri kama wewe?
 
Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?

Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?

Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
wewe bwana mdogo hujitambui. hivi umesha acha kutembea na ile ndude musu..
kamanda Zito mmhhh.....
 
patronizing! kwa hiyo wafikiri kama wewe?
Simaanishi hivyo. Kila mtu ana uwezo tofauti wa kufikiri lakini mwisho wa siku tunakuwa na mantiki moja.
Mtu anasema haamini kwa nini rais anatembea na silaha wakati ana walinzi na anafahamu kuwa tais nae ni mkazi wa dar na kwa wakazi wa dar wote mkuu wa mkoa kaagiza waka hakiki silaha zao. Ndipo nilipotofautiana nao, sio kuwa nataka wafikiri kama mimi.
 
Back
Top Bottom