miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
nadhani gizi alinunua kabla ya kuwa raisi,, sasa katimiza wajibu tu wakwenda kuzihakiki kama agizo la mkuu wa mkoa alivyotangaza ,....Hii hata kama sifa imezidi.SIjawahi kuona toka enzi za JKN mpaka Kikwete,Rais kuwa na silaha.Walinzi wote wale ikulu.Au yuko first kutumia kuliko walinzi wake??Imenipa shida,nadhani hata walinzi wake itakuwa imewapa shida kumuelewa.
Vere impresivu aisee,mkwaju a.k.a manati mzungu
Hahahaah kila wiki lazima aonekane.Magufuli hii imezidi... Unatumia nguvu sana kubaki kwenye media....
Vipi majipu yameisha? Too much aisee.
Nadhani silaha alikuwa nazo tangu kabla hajawa rais. Suala ni kuwa kuna umuhimu wa kuendelea kutembea nazo hadi kipindi hiki ambapo kazungukwa Na walinzi kila kona??
nadhani gizi alinunua kabla ya kuwa raisi,, sasa katimiza wajibu tu wakwenda kuzihakiki kama agizo la mkuu wa mkoa alivyotangaza ,....
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Aisee, alifikiri ni simple? Amuulize JK na umaarufu wake wote aloingia nao alichuja ndani ya muda mfupi!!!Hahahaah kila wiki lazima aonekane.
Sasa si kaenda nyumbani kuchukua silaha yake ,ulitaka nani ambebee ?? ADC au ?? Mimi nasuburi kuona Malima akijitokeza na SMG yake kwa ajili ya uhakikiNa mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
mkuu naona kama anakasilaha kadogo nadhani hako kakanunua mwenyewe,.. ,.. na ujue silaha ni mali ya mtu binafsi kama gari ..Hakutakiwa kuhakiki,alitakiwa kurudisha.Na alitakiwa kurudisha kabla hata ya kuingia Ikulu.Hivi akipata hasira yupo chumbani akammaliza mtu humo ndani inakuwaje??
Hujaniconvince bado,inakuwaje RAIS amiliki silaha.
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Mkuu, hizo silaha mjomba MAGU alikuwa nazo toka akiwa waziri nadhani. Kwa hiyo alichofanya ni sawia kabisa. Akistaafu urais ataendelea kuzitumia tu.
Daah! Jamaa anapenda Umarufu wa kijinga.......Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?
Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?
Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
Mbona its okay....ni kawaida sana hili...nani amekwambia marais wengine hawana hizo kiunoni?Mkuu, kabla sijaandika nilifikiria sana na wala sio kidogo, hiyo silaha ametoa kiunoni kwake........begs for questions. Hata hivyo, it is self defence kit, so, we don't have to shout louder.
Be cool#Rich Paul
Hata mimi najua viongozi wengi wanazo silaha, lkn He's the President who is extremely protected. Kwanini aonyeshe silaha hadharani....if was bunduki ya kuwindia na yeye ni mwindaji..that could be cool and amazing.
What is I think ni kwamba kitendo chake "kinataka kuhalalisha nguvu atakayotumia mkuu wa mkoa ktk kuhakikisha wanaomiliki silaha wanalazimisha kupeleka silaha zao for ukaguzi" by telling em kuwa "Rais ametoa silaha, and who are you kukataa agizo la Rais"