Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

Kwenye kitabu chake hajaonesha copyright ya photograph alizotumia
Kutoonesha haina maana hana ruhusa.

Kusema copyright reserved ni kama picha ni yake.

Kitabu kimesema "Cover design by Publicide" inawezekana Publicide wamenunua rights za kutumia picha.
 
Hi sio Justification, kuna shida gani Rais kuwa na Silaha

Kitabu ni misleading
Hamna shida..shida ni kumpa mtu unpredictable, mbabe, na mwenye quick temper silaha ya moto...mkipishana tu kauli ni pah pah pah...huko tulipokua tunaenda jiwe angekuja kufyatua watu mbele ya Camera...imagine watu wanakwambia watu wa aina flani hawapaswi kuishi...the Man alijiona Mungu mtu...the good thing ni funza wanamla saivi.
 
Back
Top Bottom