johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hakikaRais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.
Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar
Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.
Source Ikulu, Dsm.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna tofauti kati ya Rais Magufuli na Dr Magufuli!Iko kwenye ratiba?Kuumbuka ume-comment kushangaa Lissu kutaka kutembelea uwanja wa ndege Chato ukidai ratiba yake ya kampeni haina kipengele cha yeye kutembelea huo uwanja.
Mahakama ni muhimili unaojitegemea!Kasema chochote kuhusu masheikh wetu adhimu walioko Jela kiuuonevu?
DPP ni tarishi wa rais, akimwambia ondoa kesi inaondoka fasta tu kabla jogoo wa alfajiri hajawikaMahakama ni muhimili unaojitegemea!
Wasiliana na DPP ndio mwenye uwezo wa kuwaachia mahabusu!Vipi kagusia swala la kuwaachia masheikh wetu kule segerea. Au hapo kaendelea kusimama kwenye ule msimamo wake.
Kwanini wewe usiongee na DPP?DPP ni tarishi wa raisi, akimwambia ondoa kesi inaondoka fasta tu kabla jogoo wa alfajiri hajawika
Lisu unamfananisha na rais?Iko kwenye ratiba?Kuumbuka ume-comment kushangaa Lissu kutaka kutembelea uwanja wa ndege Chato ukidai ratiba yake ya kampeni haina kipengele cha yeye kutembelea huo uwanja.
Kwanini wewe usiongee na DPP?
Basi mwambie Tundu Lisu akawatetee huko mahakamani!Mimi siyo bosi wake
Ndio ujue leo!Hivi kumbe misikiti nayo huwa ina madaraja, sikuwahi kujua kama kuna msikiti mkuu.
Chama cha Mbowe kimapenda show off Sana. Mara kkoo, mara mlimani city, mara kwenye mataa na uwanja wa ndege hizi zote ni kupoteza muda tu. Wekeni Sera zenu mezani watanzania wazione sio janja janja.Iko kwenye ratiba?Kuumbuka ume-comment kushangaa Lissu kutaka kutembelea uwanja wa ndege Chato ukidai ratiba yake ya kampeni haina kipengele cha yeye kutembelea huo uwanja.
Aulizwe Dr shein na professor kikwete.Vipi kagusia swala la kuwaachia masheikh wetu kule segerea. Au hapo kaendelea kusimama kwenye ule msimamo wake.