Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Chanzo: Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
1602762286754.png

1602762233374.png
1602762252808.png
1602762273374.png
 
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm.

Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar

Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi.

Source Ikulu, Dsm.

Maendeleo hayana vyama!
hakika
 
Iko kwenye ratiba?Kuumbuka ume-comment kushangaa Lissu kutaka kutembelea uwanja wa ndege Chato ukidai ratiba yake ya kampeni haina kipengele cha yeye kutembelea huo uwanja.
Kuna tofauti kati ya Rais Magufuli na Dr Magufuli!

Aliyetembelea msikiti ni Rais Magufuli na yule wa kwenye kampeni ni Dr Magufuli ambaye leo alikuwa wilayani ubungo.
 
Kesi za uhujumu uchumi zishuhulikiwe haraka,wakikiri kosa wasamehewe

Kesi za mashekh wetu kimyaaaa.

Hapo ndiyo utajua siasa za majitaka za ccm
 
Iko kwenye ratiba?Kuumbuka ume-comment kushangaa Lissu kutaka kutembelea uwanja wa ndege Chato ukidai ratiba yake ya kampeni haina kipengele cha yeye kutembelea huo uwanja.
Chama cha Mbowe kimapenda show off Sana. Mara kkoo, mara mlimani city, mara kwenye mataa na uwanja wa ndege hizi zote ni kupoteza muda tu. Wekeni Sera zenu mezani watanzania wazione sio janja janja.
 
Back
Top Bottom