Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Mzee unaandika kimbea mbea na kishabiki shabiki Sana. Sikuizi nakuona Kama fala tu.....Jina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
Nadhani mkandarasi aliyeelimika na kujua majukumu yake hawezi kukubali amri za kijinga hata kama zimetolewa na mwenye mali! Hilo ndilo jambo la kujifunza.Inategemea. Kuna watu wakiwa wanajenga nyumba utasema wao ndo mafundi, wanaelekeza kila kitu. Ss Kama alikuambia tutumie cement, nondo na matofali ya aina flani ukamwambia No tumia ya aina ninayotaka mm na ukamnunulia ukapeleka, halafu ukampangia na ajenge kwa ratio gani ule Ufa Utakuwa unakuhusu wewe sema unaweza mlaumu tu sababu yeye Ndo mkandarasi.
Kuhusu huyu aliyesimamishwa kazi ni sawa, hata mm ningemsimamisha maana utetezi wa 25 to 20% kwe runinga sijui alitumia nn kufikiri.
Hilo sasa ni jambo jingine. Kapteni kazama na meli!
TrueMbuzi wa kafara. Muswada ulpelekwa bungeni na waziri na ndiye aliyeupeleka kwa rais baada ya wabunge wa ccm kuupitisha, nadhani ingekuwa vyema kama ingeanzia kwa waziri, wabunge wa ccm ndipo afuate huyo mkurugenzi
Mkuu huyo mzee sikuizi amekuwa Kama shoga ivi hata uandishi wake...eti Magu Ni Alfa na Omega. StupidSiyo kila mtu alikuwa na wewe kwenye hiyo safari yako ya huko mbali!?
Kati ya hao wawili anayesaini na aliyezitunga nani kisheria huhesabika ndiye kazitunga hizo "Regulations"Wewe unaumwa. Waziri anasain regulations yeye hazitengenezi. Regulations zinatengenezwa na idara wenye sheria. Mfano, Sheria ya ardhi ikitungwa, regulations zake zinatengenezwa na Kamishana wa Ardhi hivyo waziri wa ardhi huperekewa kusain tu.
Siyo kila mtu alikuwa na wewe kwenye hiyo safari yako ya huko mbali!?
Huyu mdada katolewa kafara tuu. Wamemwonea tuu. Ndio shida ya nafasi za uteuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Joto ya jiwe gani wakati anapangiwa kazi nyingine. Watu wameishia rais ametengua uteuzi, ila atapangiwa kazi nyingine wameachana nayo
Kama unapata shida kuona kosa lake ngoja nikupe mfano huu: Umempa mkandarasi mkataba wa kujenga nyumba. Baadae ukakabidhiwa nyumba yako na kuichukua. Baada ya siku mbili nyumba ikapasuka ufa! Je mkandarasi hatawajibika kwa sababu tu wewe ulikubali kuipokea ile nyumba?
Hana Kosa ndio maana wanasema atapangiwa kazi nyingine. Alifanya kazi kama alivyoagizwa vinginevyo wasingesema atapangiwa kazi nyingine
mfano huo ni irrelevantKama unapata shida kuona kosa lake ngoja nikupe mfano huu: Umempa mkandarasi mkataba wa kujenga nyumba. Baadae ukakabidhiwa nyumba yako na kuichukua. Baada ya siku mbili nyumba ikapasuka ufa! Je mkandarasi hatawajibika kwa sababu tu wewe ulikubali kuipokea ile nyumba?
Wapi mkuu hebu tudadavulie kidogoJina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
Kazi nyingine ya nn?? Aje uraiani ahangaikie mafao yake aone 25 aliyoitaka ikoje ki uhalisia. Ulizani Magu anarafiki?? Njoo dada tufukuzie mafao kwa pamojaDr Irene atapangiwa kazi nyingine.
Source ITV habari!
huwezi kujua, ndo maana atapangiwa kazi ingineSasa irene alipaswa kujenga hoja na kuzuia hili hata kama angeshindwa ila at least angejaribu...hatutaki watu wa kufuata kila wanachoambiwa bila kutumia akili zao.. pale sio jeshini
Umeambiwa atapangiwa kazi nyingine, maana yake aliyofanya AlitumwA afanye ila imeshindikana. Hayakuwa maamuzi yakeWafanyakazi wa mifuko kama NSSF wanajilipa allowance za kutosha yaani kufuja tu ela za mifuko, ila wanachama njaa Kali sana, huyu Irene na wenzie wanatakiwa washitakiwe kabisa huu ulikuwa ufisadi asee