Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Yule mama Falaa sanaa...Hata kama unatumwa inabdi uangaliee kipi cha kusema na kutetea..!! Hata wakuu wa polisi ukiwa unatumwa kupiga raia na unaendaa tu siku kikiwakaa Mkuu anakukataaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu! Kosa lifanywe na sehemu zote za bunge (Rais na watunga sheria) halafu Irene atolewe kafara. Yajayo ni ya kufikirika.
 
Duu

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Hilo jambo ni kubwa sana na bila shaka yoyote lilifanyika kwa shinikizo kubwa ya wanasiasa serikalini. Hakuna mtumishi wa umma anayeweza kuwa na mawazo mabaya kiasi kile dhidi ya wenzake na yeye mwenyewe. Na mantiki yake tuliambiwa ni ili kupata fedha za kujenga viwanda!
 
Ndiyo ujuwe ni usanii mtupu baada ya kuanzisha tatizo makusudi na kujifanya tena wanalitatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anaanzisha halikuwa tatizo bali mkakatiti maridhiwa wa serikali kupata mtaji kwa miradi yake.limegeuka kuwa tatizo baada ya kila mwenye pumzi kulaani. Ndani ya Jf, mbali na yule Mbunge wa Singida sidhani kama kuna watu walitetea uamuzi huo wa serikali kama ilivyo ada! Watetezi nao walishikwa pabaya! When they came for for the communists I did not bother, for I was not a communist!
 
Viongoz wapenda cfa matatzo ya wananchi ni mitaji yao kisiasa ,wanavuruga ili watengeneze waonekane mashujaaa kwa macho mawili lkn la tatu ni wakupuuzwa kabisa na kudharauliwa,
 
Haya maswali uliyouliza Kiongozi yote ni muhimu. Sasa tusogee ngazi moja mbele, Serikali yetu imechukua hatua kwa mshauri ambaye mpango wake (no matter how evil it may sound) ulilenga kuwasaidia watumishi kupata japo kwa udogo wake (mafao) wayapate kwa muda mrefu.
This is lesser evil ukiniuliza Mimi comparing it na other evils mentioned in your article. Swali kuwa ni kama haya yote uliyoyaainisha, ushauri mbaya wa wataalamu, juu ya ufanisi wa miradi, na uwekezaji wa zaidi ya asilimia 85 ya michango ya wachangiaji wa mifuko, ambao najua serikali inaouwezo wa kupata taarifa na kujenga kesi ambayo, basically ndio msingi wa kutatua hili tatizo.

Kwa nn serikali haifanyi hayo, yaliyo ndani ya uwezo wake... Unless yenyewe ndiomkopaji mkubwa zaidi. Na mfilisi wa mifuko?! Just thinking out loudly!!
 
Rais wetu ni msikivu sana. Mungu amlinde na kumpa afya njema. Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wetu ni msikivu sana. Mungu amlinde na kumpa afya njema. Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wetu ni msikivu sana. Mungu amlinde na kumpa afya njema. Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wetu ni msikivu sana. Mungu amlinde na kumpa afya njema. Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za maji taka!!Mama ndiyo alitunga hiyo sheria mbovu??! Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za maji taka!!Mama ndiyo alitunga hiyo sheria mbovu??! Sent using Jamii Forums mobile app
[QUOTEd="Allen Kilewella, post: 29801875, member: 55849"]Hakuwa anatetea jambo binafsi. Ile ndiyo huitwa "Collective Responsibility"[/QUOTE]
Kwa cheo chake angeweza kuzuia hili lakini kwa sabab wanafanya kazi kwa uoga ndio imempelekea kufika pale...na yeye ni dhaifu maana ameshindwa kujenga hoja
Hizo sio hisia? Utaratibu wa kutangaza jambo kubwa kama hilo kwenye taasisi ya umma ukoje?
 
Kama ungekwua ni ushauri wa Jenista si angemvua uwaziri, kwanini atengue uteuzi wa mkurugenzi na sio wa waziri
Strange! Watanzania uelewa wetu ni mdogo sana na labda njaa zinatufanya tuwe makasha matupu! Unasema kama angelikuwa amemshauri Jenesta angeli mvua uwaziri. Kwanini Makonda bado yupo kazini. Ana Jinai ngapi kubwa alizozifanya na bado yuko kazini? Waliofanya makosa kama ya Makonda ni wangapi na wakafukuzwa? Huyu ana selective prosecution and highly biased man of no ryle of law! A dictator!
 

Hapo unabuni huna uhakika na ulisemalo, wawakilishi wa wafanyakazi serikalini kama wangewakilishwa mwanzo, kungekuwazogo kubwa kushushwa kutoka 50% mpaka 25% lump sum hapo hakuna ulicho chambua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Sanaaaa! Nilijiuliza anawezaje kujitokezana kutetea kitu kama kile
Mzee alikuwa anaamini kama waliosema ndiooooo kule bungeni ni wa kwa mjomba, sasa hapa anapapase macho. Isitoshe hawa watu sidhani kama wanatolea macho sana vijisenti vya kuchukua uzeeni. Wanapiga mpunga wakutosha angali meno iko.
 
U
Kwa cheo chake angeweza kuzuia hili lakini kwa sabab wanafanya kazi kwa uoga ndio imempelekea kufika pale...na yeye ni dhaifu maana ameshindwa kujenga hoja
Uongo mchana kweupe,yeye anaweza pinga vipi miongozo ya serikali?au haujawahi kuwa mtumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…