Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Raisi yupo kwenye Haki.
Huwezi kutengua maamuzi ya 25% ambayo Dr. Irene kayapigania yapitishwe, alafu amuache aendeler kuwa Mkurugenzi wa SSRA. MH. RAISI ametumia hekima kubwa sana. Maana Dr. Irene asingeweza kuwa na ujasiri wa kufanya au kuendelea na kazi yake kiufanisi.
Pia hatujui yote anayoyajua Mheshimiwa Raisi. All I can say is that, JOB WELL DONE AND BRAVO MR. PRESIDENT J. P. M.
 
Sasa irene alipaswa kujenga hoja na kuzuia hili hata kama angeshindwa ila at least angejaribu...hatutaki watu wa kufuata kila wanachoambiwa bila kutumia akili zao.. pale sio jeshini
Khaaaaa!!!!!hizi kauli sio halisia,yaani uende kinyume na agizo toka juu?hebu tupe mifano waliofanya maamuzi kama hayo.Watanzania tuwe wakweli jamani,viongozi watulaghai hadi akili😡😡😡😡😡
 
Pagumu hapa, lakini bora apumzike kwa kufanya kazi yake vizuri maana angeendelea asingefanya kwa ufanisi mzuri na watu wangeshinikiza aondolewe japo mhusika ni waziri. Tatizo la hili suala ni ambiguous kila mmoja anakuwa na uwelewa tofauti
Kazi ya SSRA siyo kutetea wafanyakazi. Hiyo ni kazi ya vyama vya wafanyakazi kama CWT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu waliotunga 25% ndo waliopiga makofi na kushangilia siku inavyotengulia na mh, , , , , , , , walikua wanafanya maamulizi kama kwamba awatakuja kustaafu, , , , , , , , hongera mh rais kwa kuona mbali
 
Ila tujiulize swali moja!!! Hv huyu dada yeye ndo kafanya mamuzi hayo au kapewa order na wakubwa kwamba tunataka movie na miongoni mwa sterrling atakaye kufa ni ww but hutakufa kabisa bali utaishiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa alikuwa anajaribu kuwauzia kitimoto mashekh,alikuwa anaisifia ni nzuri mno!
 
Rais wetu ni msikivu sana. Mungu amlinde na kumpa afya njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG-20181228-WA0038.jpeg
 
Huyu alishawahi kwenda kufanya mkutano mgodi wa geita(ggm) wakamwambia waende nae mashimoni kazi ya kuchimba inapofanyikia,na kumwambia asicheze na maisha ya wachimbaji wakati yeye anakaa kwenye kiyoyozi,dada irene mkojo mwembamba ulimtoka na kukimbizwa na askari kutoka nje,na kikao kikaishia hapo,ndo kidogo watu wakawa wanachukua mafao yao..jafo hatutakusahau pia nawe kuwa mtetezi wa wachimbaji,lakini huyu regulator ''kasaka''alikuwa anazingua sana.
 
Wewe hunaelimu na mamabo haya toka enzi ya Nyerere mfuko wa PPF ulikuwa unalipa 25℅ hela ya mkupuo, ndio mfuko uliokuwa kandamizi kuzidi mifuko yote ambayo ilikuwa inalipa zaidi ya 25%
malalamiko ya wanachama wamfuko huo kuwa unalipa kiwango cha chini mno na kandamizi yaliibua wazo la mifuko yote iunganishwe ili iboreke ilipe kiwango sawa kizuri,
Upuuzi ni kuwa baada ya kuunganisha mifuko yeye kama mkurugenzi na mtaalamu alioaminiwa kwa ushauri wake kaja tena na tatizo lilelile ya 25%
Sasa kwa akili yako ulitaka Magu amfanye nini amsifie ?
Halafu upuuzi aliofanya kutoshirikisha wadau vyama vya wafanyakazi ktk maamuzi, angekuwa na akili walipo lalamika wadau angejua kakosea, angewaita kafanyanao mazungumzo hatayangechukuwa mwezi angepata muaafaka nao, wala Magu asinge mfagia, wakosa yake ndio yamempa Magu kick,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ina maana wastaafu wa PPF wataendelea kulipwa mkupuo wa 25%
Sio anajichanganya uyo alikuwa anashinikizwa na wanasiasa sasa nafsi ilikuwa inafanya kitu anajua si sawa. Hapo katolewa kafara tu mmeacha kimjadili aliesaini sheria na kuipitisha tena mnampongeza kabisa

Waziri Jenister hana ubongo wa kutengeneza kanuni! Ni hao hao kina Irene wali-draft na kumpelekea kwa ajili ya kuweka sahihi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maswali uliyouliza Kiongozi yote ni muhimu. Sasa tusogee ngazi moja mbele, Serikali yetu imechukua hatua kwa mshauri ambaye mpango wake (no matter how evil it may sound) ulilenga kuwasaidia watumishi kupata japo kwa udogo wake (mafao) wayapate kwa muda mrefu.
This is lesser evil ukiniuliza Mimi comparing it na other evils mentioned in your article. Swali kuwa ni kama haya yote uliyoyaainisha, ushauri mbaya wa wataalamu, juu ya ufanisi wa miradi, na uwekezaji wa zaidi ya asilimia 85 ya michango ya wachangiaji wa mifuko, ambao najua serikali inaouwezo wa kupata taarifa na kujenga kesi ambayo, basically ndio msingi wa kutatua hili tatizo.

Kwa nn serikali haifanyi hayo, yaliyo ndani ya uwezo wake... Unless yenyewe ndiomkopaji mkubwa zaidi. Na mfilisi wa mifuko?! Just thinking out loudly!!
Hilo swali la kwa nini serikali haichukui hatua kuwafikisha wote mahakamani waliofanya maamuzi mabaya(matumizi mabaya ya madaraka) hadi kufikia mifuko ikafilisika inabidi wote tujiulize ukizingatia serikali iliyopo madarakani inajinasibu kupambana na ufisadi adi kuwa na mahakama ya mafisadi.
 
Raisi yupo kwenye Haki.
Huwezi kutengua maamuzi ya 25% ambayo Dr. Irene kayapigania yapitishwe, alafu amuache aendeler kuwa Mkurugenzi wa SSRA. MH. RAISI ametumia hekima kubwa sana. Maana Dr. Irene asingeweza kuwa na ujasiri wa kufanya au kuendelea na kazi yake kiufanisi.
Pia hatujui yote anayoyajua Mheshimiwa Raisi. All I can say is that, JOB WELL DONE AND BRAVO MR. PRESIDENT J. P. M.
So kipi kilikua ni Sahihi zaidi?
Rais amtengue Dr. Isaka au Dr. Isaka ajiuzulu mwenyewe?
 
Kabinti karembo ila kichwani kalikuwa keupeeeee any way katalelewa mtaani maana yaliyomo bado yamo!
 
Back
Top Bottom