ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Mimi aliniacha hoi tu pale nilipomsikia akisema hajui ni kwa nini viongozi wa kisiasa hawaguswi na kikotozi eti hadi akaisome sheria inasemaje ndio anaweza kujibu hilo swali.... Mkurugenzi mzima....Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Sent using Jamii Forums mobile app