Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Mimi aliniacha hoi tu pale nilipomsikia akisema hajui ni kwa nini viongozi wa kisiasa hawaguswi na kikotozi eti hadi akaisome sheria inasemaje ndio anaweza kujibu hilo swali.... Mkurugenzi mzima....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliekua mkurugenzi wa Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa mifuko ya hifadhi ya jamii ametenguliwa cheo chake baada ya sakata la Pension.
Ushauri:Rais tusaidie wabunge wote wa CCM ambao hawakuwatetea wananchi kuhusu mafao wasirudi bungeni tena 2020. Maana kila ujinga wao ni kusupport
yeye atarudi?
 
PHD ya mkorogo, huwezi kuwa na ujasiri wa kutetea ushetani kama ule, hata kama ulikuwa unatumwa na wanasiasa duh! Ona walivyokuruka utabaki na aibu yako mama!.waliokuwa wanakutuma Jiwe na Jennister(Double J) wanaendelea kupeta tena watakuwa wanakuponda kweli na PHD yako ya mkorogo, unaweka njaa mbele kuliko maslahi ya wengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1546018038744.png

Binti Msomi!
 
Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?

Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hausiki!
Kweli kabisa mkuu yaani hawa maccm wanataka kutufanya wajinga yaani wanatengeneza tatizo makusudi alafu wanajifanya kuja kulitatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?

Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hausiki!
Sasa irene alipaswa kujenga hoja na kuzuia hili hata kama angeshindwa ila at least angejaribu...hatutaki watu wa kufuata kila wanachoambiwa bila kutumia akili zao.. pale sio jeshini
 
Kwenye hili kosa lake ni nini? Halafu acheni upuuzi wa kushangilia na kutetea maamuzi ya hao watu wenu!
Kama unapata shida kuona kosa lake ngoja nikupe mfano huu: Umempa mkandarasi mkataba wa kujenga nyumba. Baadae ukakabidhiwa nyumba yako na kuichukua. Baada ya siku mbili nyumba ikapasuka ufa! Je mkandarasi hatawajibika kwa sababu tu wewe ulikubali kuipokea ile nyumba?
 
Back
Top Bottom