Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah Yule tutasubiri Sana namteteaga Sana Rais Ni Chief Whip Yule.Jenister akitenguliwa uteuzi wake usisahau kuniita eenh
Mbona hajatumbuliwa waziri, ukiona ivo ujue anawajibika moja kwa moja kwenye hili... wizara ina sekta nyingi ila hili ni la kwake yeye kwanza then wengine watafuata..!Anazuiaje wakati suala limeanzia wizarani kwani SSRA iko juu ya Wizara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbuzi wa kafara huyo katolewa...katika watu walioumizwa saana na uamuzi mbovu saana na wakipuuzi uliofanywa na Baraza la mawaziri na Jiwe akiwemo katika kuwaumiza wananchi huyu dada ni mmojawapo kwani alibebeshwa mzigo usio wa kwake..Hii stahili ya kukili makosa kwa kuwatoa kafara watu wengine wasio na hatia ni laana...Anyway mimi sijaelewa kuhusu FAO la kujitoa mustakabali wake utakuwaje au nalo litabaki kama zamani ukimaliza mkataba wako kwa mwajiri unachukua chako choote? ufafanuzi plseMapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Nchi imejaa vichaa baada ya kichaa kujitangaza kuwa yeye ni kichaa,Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hausiki!
View attachment 979879
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Sana mabobish lkn avatar yako inanitoa udhu! Hahahaahaaaa
Nyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hahusiki!
Upo kumbe mzee baba hujafa? Aibu anayokupa Jiwe siku hizi unavizia kucomment badala ya kuanzisha uzi😅😅Jina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.