Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

Inaitwa tengeneza tatizo harafu ulitatue.arafu utaonekana unawajari
 
Attachments

  • FB_IMG_1546021574880.jpg
    FB_IMG_1546021574880.jpg
    18.3 KB · Views: 20
  • FB_IMG_1546021574880.jpg
    FB_IMG_1546021574880.jpg
    18.3 KB · Views: 19
Hoja dhaifu.

Hoja dhaifu..
Anasaini ama kutosaini kumaanisha amekubaliana ama kutokubaliana.
Kwa huyo,anawajibika.
Mkuu hii treni umeidandia huku ikiwa kwenye mwendo. Sisemi kuwa waziri hawajibiki na ikiwezekana naye afukuzwe kazi lakini nakataa hoja ya kumwona huyu dada kama mtu asiyehusika na kikokotoo (kwamba ameonewa).
 
Hahahahahahaha.

Ni muda wa mganga wa jadi sasa kuja kufanya yake usiku mnene katika makaburi ya sinza ili kulinda kibarua chake mkuu, si unajua tena UGALI mtamu huku akiwa amesahau kuwa kuna watu hata Ugali ni shida kutokana na maamuzi ya kustopisha FAO LA KUJITOA.

Huyo Jenista mganga wake ni huyo huyo wa Bashite. Huyo dada ni mshirikina balaa. Usiku huu huyo mganga lazima akalale hapo nyumbani kwake ili mkulu asimkumbuke kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtunga kanuni ni Mhagama, aliyetumbuliwa ni Irene ambaye mtekelezaji wa kanuni. This world is not fair kwa kweli. Mhagama must gooooo
 
Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Nadhani siku nyingine akipewa dhamana ya kusimamia maslahi ya wananchi hatoweza kuwa upande wa wanasiasa tena, hili ni funzo kwake mara ya mwisho aliongea kwa kebehi sana yeye pamoja wapuuzi wengine sasa leo kiko wapi, kabla hujafanya jambo ovu kwa mwingine hebu tuifikirie kesho yetu, nadhani amekuwa mbuzi wa kafara pasipo kutegemea, kwa yaliyomtokea ni elimu tosha kwa watendaji wengine acheni kucheza na wanasiasa kwa nyakati hizi za kukaribia uchaguzi mkuu mtatolewa sana kafara nyie Wakurugenzi.
 
Mfano unamhusu mkurugenzi. Najua masikio yako yanapenda kuambiwa kuwa rais ni mtu mbaya. Hili halishangazi! Ila kama rais angeingilia wakati wabunge wanapitisha wewe ungekuwa wa kwanza kusema analiendesha bunge kwa rimoti. Kwangu mimi rais amefanya vizuri sana kwani ameacha maji yafuate mkondo wake ili wengi tujue ni wapi kwenye ubovu na wapi kwenye ubora. Kwa hali hii wabunge waliopitisha hiyo sheria keshokutwa watatafakari kabla ya kupitisha mambo mengine.

Narudia tena, rais ni mmojawapo katika hilo tatizo, rais, na wabunge wa ccm ni sehemu ya hiyo sheria mbovu. Kama wabunge walipitisha kitu kibovu rais halazimishwi kusaini, alipaswa kurudisha kabla ya kusaini kuwa sheria. Wabunge wa upinzani walipiga kelele nje na ndani ya bunge. Hapo rais na wabunge wa ccm wanajiteteaje?

Anyway, Rais katengua hiyo sheria, je sheria iliyosainiwa inatenguliwa kwa mdomo tu? Leo hii ukienda mahakamani kudai haki, mahakama watahukumu kwa mujibu wa sheria iliyosainiwa au watafuata busara za rais?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.

Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Na Jenister Mhagama je?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikokotoo sio poa. Kimetibua tibua mambo halafu chenyewe hichooooo kimeenda zake 2023. Kuna mwingine kimeenda kumngojea. Ole wake atakaechaguliwa hadi ifike hiyo 2023 awe hana majibu yakueleweka
 
Hapa ndipo watawala wanaporukaruka kushangilia ujinga wenu kwanini usianze kumlaumu aliesaini mswaada kuwa sheria badala yake unamlaumu huyo Dada kutekeleza maagizo ya sheria
Tena huyoo malaya akafie mbali na laana za wafanyakazi, yaani alikuwa anang’ang’ania kunyang’anya mafao ya wafanyakazi as if ni pesa zake binafsi, binafsi nimemchukia kupitiliza sasa amfate mkwere wakafanye mapenzi vizuri, mafao yetu akae nayo mbali, kwa kweli kwenye hili namfagila jiweee ila 2020 simchagui...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.

Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums

Nakupongeza sana mheshimiwa mkuu wa nchi yetu kwa kuahidi kumpangia kazi nyingine Mtanzania mwanamke huyu mwenye pHD ambao kwa hakika ni wachache sana hapa nchini kwa wenye pHD wa jinsia hiyo na nina imani na manufaa ya pHD yake kwetu wananchi wa taifa letu
 
Mtunga kanuni ni Mhagama, aliyetumbuliwa ni Irene ambaye mtekelezaji wa kanuni. This world is not fair kwa kweli. Mhagama must gooooo
Huyo mtekelezaji ilibidi/ilitakiwa ajiuzulu kama aliona hizo kanuni haziwezi kutekelezeka, lakini kwa ujinga alionao akaona na yeye apigilie msumari kwenye maslahi ya mtumishi, mtu ni PHD holder mzima unaendeshwa na mtu mwenye sifa ya kujuwa kusoma na kuandika si ujinga huu, Dr. Kisaka ni mtaalamu alitakiwa kujiuzulu nafasi yake kabla ya hili janga halijamkuta.
 
Back
Top Bottom