Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii treni umeidandia huku ikiwa kwenye mwendo. Sisemi kuwa waziri hawajibiki na ikiwezekana naye afukuzwe kazi lakini nakataa hoja ya kumwona huyu dada kama mtu asiyehusika na kikokotoo (kwamba ameonewa).Hoja dhaifu.
Hoja dhaifu..
Anasaini ama kutosaini kumaanisha amekubaliana ama kutokubaliana.
Kwa huyo,anawajibika.
Maajabu ya Jiwe la mwanzoni lisilotakiwa na waashi. Hahahahaha!!!Mbuzi wa kafara wakati kosa kafanya alie saini sheria
We kipofu sibili nukta nunduNieleweshe kosa la Irene Kisaka ni lipi?
Huyo Jenista mganga wake ni huyo huyo wa Bashite. Huyo dada ni mshirikina balaa. Usiku huu huyo mganga lazima akalale hapo nyumbani kwake ili mkulu asimkumbuke kabisa
Kipofu mama yako!
Ha ha haaa jiwe limewavua nguo mchana kweupe wanaishia kudandia viuzi nakuandika sentence mojaUpo kumbe mzee baba hujafa? Aibu anayokupa Jiwe siku hizi unavizia kucomment badala ya kuanzisha uzi[emoji28][emoji28]
Wapi Mzee MwanakijijiJina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
Tukumbushe na sisi wewe ulikuwa mpiga zumari wake aya leta hizo kumbukumbuJina la Irene Kisaka na uteuzi wake kuwa Mkurugenzi mbona linanikumbusha mbali Sana..
Nadhani siku nyingine akipewa dhamana ya kusimamia maslahi ya wananchi hatoweza kuwa upande wa wanasiasa tena, hili ni funzo kwake mara ya mwisho aliongea kwa kebehi sana yeye pamoja wapuuzi wengine sasa leo kiko wapi, kabla hujafanya jambo ovu kwa mwingine hebu tuifikirie kesho yetu, nadhani amekuwa mbuzi wa kafara pasipo kutegemea, kwa yaliyomtokea ni elimu tosha kwa watendaji wengine acheni kucheza na wanasiasa kwa nyakati hizi za kukaribia uchaguzi mkuu mtatolewa sana kafara nyie Wakurugenzi.Huyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Mfano unamhusu mkurugenzi. Najua masikio yako yanapenda kuambiwa kuwa rais ni mtu mbaya. Hili halishangazi! Ila kama rais angeingilia wakati wabunge wanapitisha wewe ungekuwa wa kwanza kusema analiendesha bunge kwa rimoti. Kwangu mimi rais amefanya vizuri sana kwani ameacha maji yafuate mkondo wake ili wengi tujue ni wapi kwenye ubovu na wapi kwenye ubora. Kwa hali hii wabunge waliopitisha hiyo sheria keshokutwa watatafakari kabla ya kupitisha mambo mengine.
Na Jenister Mhagama je?!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Tena huyoo malaya akafie mbali na laana za wafanyakazi, yaani alikuwa anang’ang’ania kunyang’anya mafao ya wafanyakazi as if ni pesa zake binafsi, binafsi nimemchukia kupitiliza sasa amfate mkwere wakafanye mapenzi vizuri, mafao yetu akae nayo mbali, kwa kweli kwenye hili namfagila jiweee ila 2020 simchagui...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka.
Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums
Huyo mtekelezaji ilibidi/ilitakiwa ajiuzulu kama aliona hizo kanuni haziwezi kutekelezeka, lakini kwa ujinga alionao akaona na yeye apigilie msumari kwenye maslahi ya mtumishi, mtu ni PHD holder mzima unaendeshwa na mtu mwenye sifa ya kujuwa kusoma na kuandika si ujinga huu, Dr. Kisaka ni mtaalamu alitakiwa kujiuzulu nafasi yake kabla ya hili janga halijamkuta.Mtunga kanuni ni Mhagama, aliyetumbuliwa ni Irene ambaye mtekelezaji wa kanuni. This world is not fair kwa kweli. Mhagama must gooooo
chakula cha USIKU