Jackson Turary
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 161
- 136
Je aliyesaini sheria kandamizi kwa wastaafu yafaa naye ajitumbue na si kuwatumbua wengine tu,!Mbuzi wa kafara wakati kosa kafanya alie saini sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je aliyesaini sheria kandamizi kwa wastaafu yafaa naye ajitumbue na si kuwatumbua wengine tu,!Mbuzi wa kafara wakati kosa kafanya alie saini sheria
Niko kwenye kilinge cha Internet na forum kabla hata hujaiona computer wewe! Wakati unaziita ''video''Umeona nalilia hapa jukwaani kama ww? Dogo umejichanganya huku ndani, hii ni bundersliga league ya wagumu.
Kuchangia ni ile ile 5% mtumishi na serikali 15%. Hivyo kwa waajiri imebaki vilevile ila pension ndiyo hivyo unapewa kidogo. Ilikuwa wasahihishe kosa tu na siyo kumwadhibisha kikubwa hivi.Huenda ameangalia sana maslahi ya waajiri kuliko wafanyakazi husika na kuwasahau madhila wanayopata kwenye kupata mafao madogo.
Na hiyo ni kushinikizwa na waajiri hao kuweka kikokotoo cha asilimia ndogo.
Mazee kumbe hujui hata unachosimamia? Haki ya nani kuwa fuata mkumbo ni shida tupu. Sasa wewe ulikuwa unabishia nini?
pamoja na hili kwa level aliyokuwa huyo dada haikutakiwa kuwa muoga mbele ya wanasiasa, msomi unatakiwa kusimamia kile unachokiamini.True. Ila hata wewe ukiwa na njaa huwezi jua unaweza kukubali au kakataa lipi. Usiombe majaribu ya njaa. Jaribu lingine baya ni woga.
Mfano unamhusu mkurugenzi. Najua masikio yako yanapenda kuambiwa kuwa rais ni mtu mbaya. Hili halishangazi! Ila kama rais angeingilia wakati wabunge wanapitisha wewe ungekuwa wa kwanza kusema analiendesha bunge kwa rimoti. Kwangu mimi rais amefanya vizuri sana kwani ameacha maji yafuate mkondo wake ili wengi tujue ni wapi kwenye ubovu na wapi kwenye ubora. Kwa hali hii wabunge waliopitisha hiyo sheria keshokutwa watatafakari kabla ya kupitisha mambo mengine.
U re rightpamoja na hili kwa level aliyokuwa huyo dada haikutakiwa kuwa muoga mbele ya wanasiasa, msomi unatakiwa kusimamia kile unachokiamini.
Kuchangia ni ile ile 5% mtumishi na serikali 15%. Hivyo kwa waajiri imebaki vilevile ila pension ndiyo hivyo unapewa kidogo. Ilikuwa wasahihishe kosa tu na siyo kumwadhibisha kikubwa hivi.
Niko kwenye kilinge cha Internet na forum kabla hata hujaiona computer wewe! Wakati unaziita ''video''
Huyo dada kutolewa kafara ni sahihi kabisa msomi unatakiwa usimamie kile unachokiamini na sio ujinga aliouleta huyu PHD holder wa mkorogo, hili litakuwa ni fundisho kwake hata wakati mwingine kama atapata tena nafasi ya kusimamia maslahi ya wananchi.Sio anajichanganya uyo alikuwa anashinikizwa na wanasiasa sasa nafsi ilikuwa inafanya kitu anajua si sawa. Hapo katolewa kafara tu mmeacha kimjadili aliesaini sheria na kuipitisha tena mnampongeza kabisa
Hueleweki unachoandika.Mkuu hii treni umeidandia huku ikiwa kwenye mwendo. Sisemi kuwa waziri hawajibiki na ikiwezekana naye afukuzwe kazi lakini nakataa hoja ya kumwona huyu dada kama mtu asiyehusika na kikokotoo (kwamba ameonewa).
Karibu forum za kwetu huku: MMORPG.com: Free MMO and MMORPG Games Reviews & NewsTaa ishazimika naona unapapasa tu gizani. Washa tochi ya CM.
yule dada usomi wake bado haujamsaidia, wengi wanadhani elimu walizonazo ni za kwao pekee yao kumbe si hivyo.Watanzania mshapotezwa yaani alietunga huo mswada na aliesaini ikawa sheria wana hamuwajadili tena ila mnamjadili mtu ambae alikuwa analetewa tu mashinikizo toka kwa wanasiasa
ilikuwa ni bora kujiuzulu hiyo nafasi kuliko haya yanayomkuta leo.Ingekuwa hivyo basi mpira ulikuwa upande wa Irene, angemaliza hilo badala ya kusubiri kikao na raisi.
Mazee sioni mantiki kwenye hoja yako.Rais aliacha maji yafuate mkondo na baade akaingilia. Rais hawezi kuwa kila mahali akifanya kila kitu. Hufanyia kazi yale anayoletewa na yale yenye uharaka! BTW mimi nimefurahi jinsi alivyojipa muda kushughulikia kwani imekuwa ni somo tosha kwa wengi.I will indulge you.
Wazo la kwamba Rais angeingilia wakati liko bungeni huyo bwana angesema hayo unaalitoa wapi? Hata kama kungekuwa na sauti ambazo zingesema ana interfere bunge shida iko wapi? Lingefika hapa? Una tatizo na kuangalia ishu kwa pande zake zote au unatengeneza mchawi mwenyewe kujustify kumpiga?
Nani kakuambia bunge litabadilika kesho kutwa? Ni mara ya kwanza bunge kupitisha sheria zilizokuja kulalamikiwa na rais? Una uhakika gani huu muswada haukupitia kwenye vikao vya wabunge wa vyama kabla ya kupigiwa kura bungeni? Uaamini tatizo liko na linaishia kwenye bunge? Kabla ya leo ulikuwa unaona bunge halina shida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha za kununulia Korosho zimetosha? Nakwambia si muda uhakiki wa wastaafu utaanza!!alishindwa vipi kujiuzulu kwa nafasi aliyonayo? na kama pesa zilikuwa hazipo leo Rais amewaambia watumie kikokotozi cha zamani je hizi pesa zimepatikana wapi ndani ya muda mfupi?