Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Ewe Mh Raisi wetu, tunakuomba pΓ­a umuangazie na huyu DED wa Temeke,, miundombinu ya barabara hasa route zinazotumiwa na public transport ni mbovu sana miaka kenda na kenda
Nyie watu nyie. Hawa watu wote wako kiupigaji. Haya ndiyo madhara ya kuwatumia kufanya hujuma za uchaguzi na kukandamiza upinzani. Ukishamtumia mtu kufanya maovu na yeye anakudharau na kujiamua kujitengenezea future yake.

Kila siki nasema awamu hii ndiyo yenye upigaji kuliko nyingine zote. Hata ningekuwa mimi. Unanitumia kufanikisha uovu wako halafu niwe mwadilifu? Nitakula bila kusaza potolea mbali ukinitumbua nakuwa nimeshaweka akiba yangu.
 
Binadamu inabidi kuamini kuwa Mungu yupo na ndiye Alpha na Omega.

Viongozi wa cdm walihukumiwa na kuziacha familia zao zikilia kwa simanzi pamoja na wapenzi na wanachama na wapenda mageuzi.

Kisa na chanzo kilicho pelekea hayo yote ni huyo bwana hapo chini kufanya ukiritimba wa kutoa barua kwa mawakala wa uchaguzi.

Jamii ililia sana kwa yaliyo tokea na sasa Mungu wetu ambaye ndiye shahidi wa kweli na muaminifu amefanya yake.
 
Atapangiwa kazi nyingine
 
Mbona kama ana vina 7 na marehemu mtikila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi amegeuka toilet paper baada kuwapa ushindi
Fyatua!!
Mimi Naweza Kumfukaza RC, RAS, DC, DED Mpaka Mtendaji Wa Kijiji. Wanaotafuta Kazi Ni Wengi Sana Ndugu Zangu.
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ€£πŸ™‚πŸ˜œπŸ˜›πŸ˜ŒπŸ˜”πŸ˜“πŸ˜«
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Malipo ni hapahapa
Mbinguni Inakwenda Hesabu!
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‰πŸ˜†πŸ˜˜πŸ˜πŸ˜ŽπŸ˜‹πŸ˜‘β˜ΊπŸ˜šπŸ˜™πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…