Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Ewe Mh Raisi wetu, tunakuomba pía umuangazie na huyu DED wa Temeke,, miundombinu ya barabara hasa route zinazotumiwa na public transport ni mbovu sana miaka kenda na kenda
Kuna bwana aisema akitumaliza sisi atarudi kwenu msijione mpo salama
 
Kama issue ni hiyo coco beach yeye DC atapona kweli?
 
Hiyo sawa lkn ile nafasi yake aliyo kuwa akihidumu kipindi kile cha uchaguzi na ikapelekea vurugu ametolewa tena kwa kutumbuliwa.
Ila alishaula na mali kavuna. Maana kudumu kwenye hizi nafasi za teuzi iwe kwa mwema au mbaya hakuna uhakika. Hata kama ni mwana Tea Sea lakini kitakachomwandama maisha yake yote ni kile kifo cha yule binti mwanachuo Aquilina.
 
Ewe Mh Raisi wetu, tunakuomba pía umuangazie na huyu DED wa Temeke,, miundombinu ya barabara hasa route zinazotumiwa na public transport ni mbovu sana miaka kenda na kenda
Route za private transport hizo ziko safi??
 
Angemtumbua wa Temeke ingefaa sana. Nadhani nae hana siku nyingi
Wa Temeke wanajuana. Aliiba mabox ya kura Kakonko kuipa Ccm ushindi. Yaani mkurugebzi wa Temeke ana makando kando mengi kuliko wakurugenzi wote ila mkuu hujifanya hayaoni.
Kudharau waandishi, kununua vitu bila kufuata taratibu za manunuzi, .....
 
Huyo "shetwani"alisabababisha kifo cha Akwilini ambaye hakuwa na hatia hata kidogo........

Kasababisha akina Mbowe wakanyolewa vipara kwa kuhukumiwiwa bila hatia!

Hakika Mungu ni mkubwa na huwa hadhihakiwi na amejibu kuwa muhalifu aliyestahili KUHUKUMIWA ni yeye
 
mfano wilaya ya Ubungo ni moja kati ya wilaya changa ilipaswa iwe na harakati za kuhamasisha maendeleo haswa ktk jimbo lililo nyuma kama Jimbo la kibamba, kiluvya, kuna miundo mbinu mibovu ya barabara, tarura wameyasahau kabisa maeneo haya.
kuna kituo kikubwa cha polisi lkn hakijajengwa kwenye viwango vinavyo endana na IGP Siro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi sana ndugu,Mungu ndiye shahidi namba moja muaminifu popote pale ulimwenguni
 
Ila alishaula na mali kavuna. Maana kudumu kwenye hizi nafasi za teuzi iwe kwa mwema au mbaya hakuna uhakika. Hata kama ni mwana Tea Sea lakini kitakachomwandama maisha yake yote ni kile kifo cha yule binti mwanachuo Aquilina.
Hicho kifo ndiyo mateso yake makuu maishani.

Pia ujue kuwa kutumbuliwa kwa kutangazwa hadharani nako ni moja ya adhabu mbaya sana mbele ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…