Kwa hiyo hakuwa na idhini?...unachekesha sanaUkipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Naomba nifahamu, kuwepo kwa level fulani ya utumishi, kwa mfano ualimu shule ya msingi kuwa daraja A. Viwango hivi huwekwa na nani?Nchi ya viwonder haaahaaahaa.
Huyu mzee kamtoa kafara mama wa watu for political gains duhhh
Kweli mwamba hyu mama anatumiwa na MABEBERU[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Thanks kwa andiko lako hili zuriUkipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali.
Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Mbaya sana......ndio maana kazi za uteuzi ni za kibwege sanaNi mpuuzi tu ndiyo naweza kumshangilia huyo jamaaa!! Kuna wakufunzi zaidi ya 500 wamefanya semina Mwanza juu ya huo mfumo mpya wa kutoa elimu kwa diploma ya ualimu wa primary, pesa za walipa kodi zimetumika kuwalipa per diem, posho 120,000 per day ×14. Pesa zimepotea bure kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa!!!
Ni wewe kuidhinisha???Kwa hiyo hakuwa na idhini?...unachekesha sana
Kwa kawaida alitakuwa kabla ya kuruka hewani aombe ridhaa ya kufanya hivyo, hata kama walijadiliana na kuazimia hivyo.Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Pia siamini kwamba huyu mama alikosea au alijazwa kama wanavyosema....Thanks kwa andiko lako hili zuri
Kuna uadilifu gani kwenye serikali ya magufuli? Kujenga uwanja wa ndege chato bila kufuata taratibu tena kwa kutumia kampuni ya ndugu yako Mayanga Construction ndo uadilifu?Ukipewa kazi na serikali hii ya John Pombe Magufuli inabidi ufanye kazi zako kwa uadilifu na viwango huku ukitambua kabisa kwamba unatakiwa kutembea kulekule inapotembea serikali. Kufanya maamuzi yanayohitaji idhini ya serikali na yanayogusa maslahi ya watu bila idhini na kuyatangaza na kuyatekeleza ni hujuma kwa waliotakiwa kuidhinisha.
Ulitakajenge ubelgiji au amerika?Kuna uadilifu gani kwenye serikali ya magufuli??? Kujenga uwanja wa ndege chato bila kufuata taratibu tena kwa kutumia kampuni ya ndugu yako Mayanga Construction ndo uadilifu????
Nilitaka apeleke Maji kakonko kigoma ambako tangu uhuru watu wanakunywa Maji ya tope!Ulitakajenge ubelgiji au amerika?
View attachment 1591994
Check na wizara husika ujue mradi unakamilika lini. UsikurupukeNilitaka apeleke Maji kakonko kigoma ambako tangu uhuru watu wanakunywa Maji ya tope!
Nikurupuke nini wakati hayo yamesemwa na mgombea ubunge wa huko kwa ticket ya CCM Joyce Ndalichako kuwa tangu Uhuru watu wa huko wanakunywa Maji ya tope?????Check na wizara husika ujue mradi unakamilika lini. Usikurupuke
Tangu uhuru rais hakua Magufuli pekee, waliotangulia wanafanya na yeye anafanya kwa kasi zaidiNikurupuke nini wakati hayo yamesemwa na mgombea ubunge wa huko kwa ticket ya CCM Joyce Ndalichako kuwa tangu Uhuru watu wa huko wanakunywa Maji ya tope?????
Kwani yeye alishindwa kucheki na wizara wakati yeye bado ni waziri ????
Kwa hiyo waziri Ndalichako alivyoongea mbele ya magufuli tena akiwa live hakuliona hili au hakuiona hii picha????Tangu uhuru rais hakua Magufuli pekee, waliotangulia wanafanya na yeye anafanya kwa kasi zaidi
Haya nikuambie tuu kwa faida yako
View attachment 1592002
Serikali ihamie dodoma, hospitali zijengwe mijini na vijijini, umeme usambazwe halafu maji yakosekane??? Haiwezekani
Mtu mwenye PhD na uzoefu wa kufundisha chuo kikuu unamwita 'kimama'? Mwalimu wa madaktari wa tiba Chuo kikuu MUHAS Muhimbili unamwita "kimama"? Hata kama ni wivu huu sasa ni uzezeta.Hapo mbwa kala mbwa.
Japokuwa kile kimama kimeonewa, lakini kile kimama kilikuwa na nyodo za kiCCM sana, kilikuwa kinajiona kimeshafika pale kisa kuteuliwa na Rais. Leo kimetumbuliwa usiku usiku. Huko kilipo lazima kipandishe sukari.
Yote kwa yote walimu walishaamua kuitosa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi huu. Oktoba 28, kichapo kipo pale pale. Magufuli ajipange kulizwa tu.
Yaani hii ishu walimtegea kabisa huyo mama
Yaonekana ana kihehrehere sana sana Sasa wakaamua wamuekee mtego[emoji1787][emoji1787]
Magufuli kala kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe maana yake ndio hii??Aliahidi ajira 13,000 za walimu. Akajikuta uwezo wa kuwalipa na kampeni hizi ni mdogo. Aliamua kutoa kisingizio cha kutoajiri walimu wa vyeti baadae akaona itamharibia kisiasa ná uchaguzi huu.
Basi ok mtashangilia na kusifu pamoja nae huko lumumbaAvemaria ni mwanaccm damudamu kabisa. Ni wale ambao wako tayari kuacha kupitia familia wakikimbilia mambo ya chama. Ila ni mkorofi kupindukia. Kuna watu watakuwa wamefurahia sana.