fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Ingawa kamuonea huyo mama,lakini huyo mama anajulikana kwa ujinga wake meingi sana hapo wizaraniKabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Siyo kapata ajenda bali kapata ilani kwani ilani zake huzitunga papo kwa papo toka kichwani kwake. Hana ilani ya maandishi inayoinadi kwenye kampeni zake.Keshaa mwongezea ajenda mpya nyingine T.Lissu
Magufuli anapingana na ilani anayoinadi? Maana kilichoandikwa katika waraka aliosaini Semakafu kimo ndani ya ilani ya CCM anayotembea nayo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.
Nafasi hiyo itajazwa baadaye.
View attachment 1591621
PIA SOMA
= > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania
= > News Alert: - Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti
Check mate!Pawn!
Du eti kimetenguliwa usiku usiku 🙄🙄anachojaribu mgombea huyu aliekata pumzi ni kutaka kukomboa Kura za walimu.Hapo Mbwa kala mbwa.
Japokuwa kile kimama kimeonewa, lakini kile kimama kilikuwa na nyodo za kiCCM sana, kilikuwa kinajiona kimeshafika pale kisa kuteuliwa na Rais. Leo kimetumbuliwa usiku usiku. Huko kilipo lazima kipandishe sukari.
Yote kwa yote walimu walishaamua kuitosa CCM na Magufuli kwenye uchaguzi huu. Oktoba 28, kichapo kipo pale pale. Magufuli ajipange kulizwa tu.
Hakuna bunge pale wewe!Kwa nini mambo kama haya hayajadiliwi tena bungeni ? Au ndio bunge limekuwa BUBU?😳
Comment yako tu niya 95, hizo 96 umezisoma wapi ?!Nimesoma comments 96 nimeona comments mbili tu zilizokaa ki LUMUMBA KUMBA hii inaonesha hata hao BOOK SEVEN kina mambo yanawakera likilobaki wanalinda UBWABWA wao tuu
Siyo kapata ajenda bali kapata ilani kwani ilani zake huzitunga papo kwa papo toka kichwani kwake. Hana ilani ya maandishi inayoinadi kwenye kampeni zake.
Sasa ndugu kwa position hiyo hiyo moja akija mtu wa stashahada na mwingine wa astashahada kwa logic ya kawaida tu unafikiri nani atakayechukuliwa? Automatic ni wa stashahada.Kuanzisha stashahada, sio kufuta astashahada
Kwa elimu yenu ya kiswahili darasa la 7z "kuimarisha elimu kwa kuanzisha elimu ya msingim kwa KUANZISHA kozi ya astashahada" maan a yake ni kufuta kozi ya ualimu ya cheti😂😂Ipo kwenye ilani yao wanatumbuana kimaigizo
View attachment 1591623