fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Ingawa kamuonea huyo mama,lakini huyo mama anajulikana kwa ujinga wake meingi sana hapo wizaraniKabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..