Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Huwezi jua labda walishapanga.Nchi ya viwonder haaahaaahaa.
Huyu mzee kamtoa kafara mama wa watu for political gains duhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi jua labda walishapanga.Nchi ya viwonder haaahaaahaa.
Huyu mzee kamtoa kafara mama wa watu for political gains duhhh
Na katika rais asiye na staha ni huyu huwa anatukana watu hadharani sio Mara moja na kwa kuwa ni wa kutoka majalalani wanabakia kukenua tu.Wanawake kuweni na akili. Alichofanya Magufuli hapa si tu kutengua uteuzi Bali pia kumdhalilisha Semakafu kwa kumuita mpumbavu hadharani. Wanawake mna jambo na Magufuli 28/10/2020. Mmedhalilishwa mno
Kwenye hiyo ilani ni wapi pameandikwa kufuta daraja la cheti (certificate)?Ipo kwenye ilani yao wanatumbuana kimaigizo
View attachment 1591623
Huyo Ave Maria ametolewa kafara tu kwa sababu uamuzi wa kutangaza kufutwa certificate ulitolewa mwaka 2014.Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Huo uamuzi ulipita tangu 2014!Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Hili jambo limepangwa. Na ili lipangike vizuri lazima atumiwe kada anayeweza kuelewa mchezo mzima.Avemaria ni mwanaccm damudamu kabisa. Ni wale ambao wako tayari kuacha kupitia familia wakikimbilia mambo ya chama. Ila ni mkorofi kupindukia. Kuna watu watakuwa wamefurahia sana.
Haya sasa. Kwahiyo semakafu anasulubiwa kwanini?Huo uamuzi ulipita tangu 2014!
Suala la kujitolea ni upumbavu, na hata mpango wenyewe ulivyokuwa haukusema wenye certificate wasiajiriwe bali ulisema program ya certificate vyuoni inafutwa... kwamba, serikali isingedahiri wanafunzi wengine kusomea ngazi ya certificate!Na nimefurahi ametmbuliwa,ni muda muafaka sasa nae aende akajitolee au akajiajiri.
Wanaropokaga kikuda sana wakipata madaraka.View attachment 1591683
Hakuna sababu ya msingi zaidi ya kuwa ametangaza hadharani wakati ni kipindi cha uchaguzi!! Magu anataka kuhadaa watu kwamba bado yupo na watu wa Form IV Div IV wanaotaka kusomea ualimu wakati ukweli ni kwamba mpango wa kufutwa certificate upo kwa zaidi ya miaka 5 sasa!!Haya sasa. Kwahiyo semakafu anasulubiwa kwanini?
Ilani ccm uk 129(n) ipo waziKabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Kama yapi?! Ya kumfuta mtu kazi kwa sababu ya kutangaza sera ya serikali yake mwenyewe, au?! Hivi kwa akili yenu mnaamini kabisa Naibu Waziri anaweza kuchukua uamuzi mgumu kama huo pasipo na kuridhiwa na serikali?! Pasipo na kupitishwa na Baraza la Mawaziri?!Hongera sana rais wangu ,tunataka mtu mwenye maamuzi magumu