Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Someni kwa furaha kitabu cha nne.
Mzee Mwinyi aliikuta nchi na watu wake wako uchi na wenye njaa... hela zilikuwa hakuna... uchumi ulishakufa kitambo (mambo yasiyosemwa "vita zilifilisi nchi, utaifishaji mali ulikimbiza mitaji, mabeberu walituwekea vikwazo viwanda vikabaki magofu huku watu wakilipwa mishahara.
Vyama vya ushirika vilikuwa haki miliki za makada nk.) Aliweka misingi iliyomsaidia Ben kuja kupata sifa ya kukusanya kodi ikumbukwe ni wakati wa Mzee Mwinyi ndipo Thamani ya Dhahabu ilijulikana.. watu wakashika fedha za kigeni na kujua kuchuuza na kusafiri huku na kule kusaka fursa.
Aaah na tuyaache tu Mzee Mwinyi tuseme hakufanya chochote ila historia inajua nchi ilikokuwa