Rais Magufuli atokwa na Chozi la huzuni: Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo

Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.

Someni kwa furaha kitabu cha nne.
Mzee Mwinyi aliikuta nchi na watu wake wako uchi na wenye njaa... hela zilikuwa hakuna... uchumi ulishakufa kitambo (mambo yasiyosemwa "vita zilifilisi nchi, utaifishaji mali ulikimbiza mitaji, mabeberu walituwekea vikwazo viwanda vikabaki magofu huku watu wakilipwa mishahara.

Vyama vya ushirika vilikuwa haki miliki za makada nk.) Aliweka misingi iliyomsaidia Ben kuja kupata sifa ya kukusanya kodi ikumbukwe ni wakati wa Mzee Mwinyi ndipo Thamani ya Dhahabu ilijulikana.. watu wakashika fedha za kigeni na kujua kuchuuza na kusafiri huku na kule kusaka fursa.

Aaah na tuyaache tu Mzee Mwinyi tuseme hakufanya chochote ila historia inajua nchi ilikokuwa
 
Sasa kama mkapa ndio alikuweka hapo ulipo, yaani ulivyokuwa mtu wa kubebwa bebwa, without merit, na kwa sababu umetuambia wazi watanzania kwamba hapo ulipo sio kwa kura za wananchi, sasa Oktoba unaondoka.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila wote tu mzee mkapa na mzee kikwete wamembeba Sana jamaa[emoji28][emoji28]
 
mwenzako kalia sababu marehemu ndio alimfikisha hapo alipo. wewe umelia sababu gani?
Huzuni tu mkuu. Hamna cha zaidi.

Hayo ya kifikishwa mimi nipo na watu wangu pia walionifikisha hapa nilipo. Kila ntu ana wa kwake. Na hapa nlipofika namshukur Muumba sana.
 
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Mzee alikuwa kichwa na ni muda sasa kuipiga msasa elimu ya Tz iwe na quality.. Mzee alisoma kwa taabu sana lakini elimu ilikua kiwango
Matunda yake ndiyo hayo tuliosikia si mchezo CV yake na bado kazi alizokua akizitumikia hadi kifo kinatupa changamoto kubwa na elimu yetu ya sasa upungufu wa walimu madarasa.. Nk
 
Sasa kama mkapa ndio alikuweka hapo ulipo, yaani ulivyokuwa mtu wa kubebwa bebwa, without merit, na kwa sababu umetuambia wazi watanzania kwamba hapo ulipo sio kwa kura za wananchi, sasa Oktoba unaondoka.
Timu Membe bana mko katikati ya msitu.. huku TL huku CCM.. mnapata shida mno.. sasa akiondoka JPM anaingia nani?
 
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Tusubiri hiyo siku maana Watanzania tumezoea kusifia mtu anapotangulia mbele ya haki.

Vv
 
Tunatofautiana sana, wengine kawaida tu
 
Mkuu hivi ulitokwa machozi baada ya kuona jinsi Lissu alivyoshambuliwa kwa risasi?
 
Sasa mbona yeye anawafoka mawaziri wake usiku wa manane kwenye simu nakuwaita wapumbavu?
 
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Utaambiwa alikuwa bingwa wa Kiswahili na kukienzi
 
Siwezi amini mpaka nione video akidodosha machozi. Huyu jmaa anaroho ngumu sodhani kama alishawai kulia.
 
Hivi Kikwete alistaafu au aliacha jeshi akiwa na cheo gani #luteni au #kanali? Magufuli nimemsikia akisema alikuwa ni #kanali lipi jibu sasa?
 
Kanali anakuwa a humble and democratic man.

Mwalimu anakuwa sadist & a petty dictator.

that happens in the United Republic of Tanzania only.
 
Mkuu hivi ulitokwa machozi baada ya kuona jinsi Lissu alivyoshambuliwa kwa risasi?
Hii nilisikitika sana. Na mpk leo nalaani hicho kitendo na waliokifanya lazima wasakwe wa letwe kwa justice.
Ila ktk hili la mheshimiwa the way alikua akielezea. Maraisi wastaaf walikua wako 3 kila meeting km tatu nne wamekua wote leo hii mkapa hatokuwepo nilijikuta machozi.

Ni declare interest mimi ni mwana mapadiliko. Nachukia chama kimoja kutawala milele. Lkn huwa sivutiwi sana na uongeaji wa watu km kina lipumba na hata Ndugu Lissu. The way hawa wanaongea iko km kijazba jazba flan. Hasa lipumba mfano.
Magu akitulia kuongea unapata hisia. Sio ktk hili tu hata mengine ya kitaifa. Ila bhana eeee aongee lipumba. Yaani iko kufoka zaidi. Lissu nae sio kiviiile labda kwa darasani anafaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…