Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Siyo kweli na yeye alikuwa na mazuri yake mengi tu kumbuka alijulikana kama mzee ruksa aliwapa watu uhuru wa kufanya biashara baada ya kupokea taifa likiwa kwenye hali mbaya zaidi ya uchumi baada ya miaka michache nyuma kutoka kwenye vita na kuanza mapambano ya ulanguzi na uhujumu uchumiKwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Na sifa za Kikwete sijui zitakuwa zipiKwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Jpm anachokiongea leo, usishangae kesho akiongea kinyume chakeHaya maneno alitakiwa ayaingee wakati Mkapa yuko hai. Maana mzee Mkapa angeona fahari kwamba kuna kuna fadhila ana rudishiwa.
Lakini kumsifu marehemu haileti faida zaidi ya kuongea.
Tulizowea kusikia Mh JPM akituambia watangulizi wake hawakufanya kitu. Na nchi imeliwa sana. Kumbe sio kweli? Leo ana tuambia Mzee Mkapa ndie royal model wake. Ndie mwanzilishi wa karibu vitu vyote anavyo endeleza. Tushike lipi? /RIP BABA Mkapa.
Haitakusaidia kwa chochoteWakuu naomba niwaulize kitu.
Wakati nasikiliza hiki kipande machozi yamenitoka. Ni kila mmoja wetu yamemtokaaa au ni mimi tu na watu wachache. Nikimaanisha kweli kunaambae ataangalia hiki kipande asitokwe na machozi kabisa?
Je yule ambaye hayajatoka machozi kwamba yuko stronger than sisi tuliotokwa machozi??!!
Hem naombeni michango yenu ktk hili maana dah basi binadam tutakua tunatofautiana sana tena.
Naona mzee Kikwete kwa Magufuli sio saaana. Ni kwa vile tu alimtangulia, ila hawana ile chemistry kama aliyokuwa nayo na Mkapa.[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila wote tu mzee mkapa na mzee kikwete wamembeba Sana jamaa[emoji28][emoji28]
Wanasiasa na unafki ni chanda na peteKwahiyo Mkapa hakuwa kati ya wale wastaafu wanaowashwa washwa?
Exposure nayo muhimu, mmoja alisukumizwa tu kwenye hiyo positionKanali anakuwa a humble and democratic man.
Mwalimu anakuwa sadist & a petty dictator.
that happens in the United Republic of Tanzania only.
Sasa kama mkapa ndio alikuweka hapo ulipo, yaani ulivyokuwa mtu wa kubebwa bebwa, without merit, na kwa sababu umetuambia wazi watanzania kwamba hapo ulipo sio kwa kura za wananchi, sasa Oktoba unaondoka.
Kwahiyo Mkapa hakuwa kati ya wale wastaafu wanaowashwa washwa?
Ina maana wasanii na vijana waliokamata hela chafu na madili ya hela ndefu ushavisahau vyote hivyo. Kauli mbiu tu ndio itawakilisha yote hayo,Na sifa za Kikwete sijui zitakuwa zipi
Kama kweli alikuwa ni shujaa wake amuenzi kwa kulifanyia kazi ombi la Mkapa ili Tume Huru ipatikane kabla ya uchaguzi wa 2020.
Kama umezisikia sifa anazopewa Mkapa, ni kama vile Mzee Mwinyi alikuwa pazia tu, hakuna chochote alichofanya.Ina maana wasanii na vijana waliokamata hela chafu na madili ya hela ndefu ushavisahau vyote hivyo. Kauli mbiu tu ndio itawakilisha yote hayo,
"Maisha bora kwa kila mtanzania"
Ila pia vifo vya wasanii kwa ngada pamoja na mikwara ya hapa na pale baina ya raia, "Unanijua mie ni nani!"
Ni miongoni mwa sifa za awamu ya 4!
Mzee Mkapa alianzisha taasisi ni ngumu sana kukwepa kumpa hio sifa.Kama umezisikia sifa anazopewa Mkapa, ni kama vile Mzee Mwinyi alikuwa pazia tu, hakuna chochote alichofanya.
Hilo lipo waziMzee Mkapa alianzisha taasisi ni ngumu sana kukwepa kumpa hio sifa.
Hatuishi hivyoHuyo mtu wanaemlilia hana maana yoyote kaua watu acha na yeye afe tu tena amechelewa mungu angemchukua mapema zaidi ingekuwa vizuri
Kwahiyo unataka nimsifie muuaji acha kuishi kinafiki. Alafu alikuwa mla rushwa mkubwa sanaHatuishi hivyo