lucas simon
Member
- Mar 23, 2017
- 11
- 12
Ripoti za NBS, Waziri wa Fedha na Benk Kuu pamoja na za Intel briefing kwa sasa ni muhimu zaidi ....Hizo za WB, UN na IMF ni kutuvuruga malengo yetuNasikitika rais na yeye anashinda mitandaoni, mara zote anasema kuna umbea na udaku.
Kama yupo makini awe anasoma report za World bank, UN na IMF kwa ajiri ya maendeleo ya nchi yetu.
Aache vyombo vya habari vifanye kazi zake
Unawasaifia gharama au, vitu vingine siyo vya kulalamikia media siyo yako gharama hulipi wewe sasa wanakukera kitu gani anzisha media yako uone kama kuna mtu atakulazimisha ufanye kama anavyofanya azam. Punguza basi ukilaza.Yaan azam tv huwa wanakera kila habari ya mkuu live, matangazo yenyewe hawana kazi kututangazia majuic yao yasiyokuwa na kiwango
Mkulu anaogopa sana challenge.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimecheck Clouds, ta tv zingine naona wako na vipindi vingine kabisaaa....itv ndio kwanza naona mwalimu wa chekechea anafundisha
Natamani sana angekuwa anaachana na hizi habari za kujibishana na yanayosemwa. Hata kama ana-mind apotezee tu na a focus kwenye the main issue. Hivi hata kwenye kuapisha lazima atoe speech??😕Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu
Umeandika nn mkuuKapanik kuona hbr zake tumezipuuza. Na hizi tutazipuuza tu sababh ni ushilawadu na mipasho. Tanzanua imepata rais anayetua kutunga mistari ya taarabu
Kashasoma huku hataki kuzungumza Leo, ila Mwakyembe ameongea anatia huruma hana jinsi
Na wewe uache unafiki basiSijazipata manake tv hiizo zoote nimekwambia nimeona vipindi vingine..sasa nimezipataje kwa radio call ama?
Mbona povu limekutoka saana kulikoni[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Na wewe uache unafiki basi
Hata mimi linanitatiza au ni kisukumaHvi unamtumaje mtu akatibiwe sasa
Sasa hapa unahorojokea habari za nani?Kapanik kuona hbr zake tumezipuuza. Na hizi tutazipuuza tu sababh ni ushilawadu na mipasho. Tanzanua imepata rais anayetua kutunga mistari ya taarabu