Mie nafikiri kabla habari hazijatoka wahariri wote wawe wanapanga foleni ikulu zikaguliwe kwanza.
Mods are right! Ulitaka kutumia nafasi yako kupotosha umma, kuna watu wenye uelewa mdogo sana humu, umetumia nguvu nyingi kupotosha na ndio maana mods waliona thread haina uhalali kuwepo.Mods wameifuta hiyo thread...maajabu kabisa.
Bado nasema, Rais aache uongo! Hiyo interpretation unayoitoa wewe siyo lazima nikubaliana nayo.
Mtu kusema "President of World Bank hajawahi kuja Tanzania", plainly inamaanisha nilichokisema. It is a vague statement ambayo interpretation yangu ina-make sense. It wouldn't been the case kama Magufuli angekuwa explicit kwa kusema "The President of World, Kim, hajawahi kuja Tanzania". Kusema "President of World Bank", kunamaanisha taasisi ya urais. Hiyo ni open statement, ambayo inaruhusu interpretation kama yangu.
BTW, ni norm ya Magufuli kusema uongo, isn't it? Just get used to this pathetic sadist liar dikteta uchwara...
Anyway, siku hizi JF wanaufyata...[HASHTAG]#BringBackRealJF[/HASHTAG]
Wanapeleka barua za utambulisho. Huyu Magazetini hajui tofauti ya balozi wa Tanzania nchi za nje na balozi wa nchi za nje Tanzania!Kumbe hata mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Tanzania wanaapishwa na rais Magufuli? Wanaapishwa au wanapeleka hati za utambulisho?Nimeshindwa kukuekewa au wewe umekosea kuripoti?
Mods are right! Ulitaka kutumia nafasi yako kupotosha umma, kuna watu wenye uelewa mdogo sana humu, umetumia nguvu nyingi kupotosha na ndio maana mods waliona thread haina uhalali kuwepo.
Tukosoe panapostahili, hata kama prezda hataki, lakini propaganda sio nzuri.
Hongera kwa mods kufuta uzi unaopotosha.
Definitely....!!Magufuli si mzungumzaji mzuri.
Hapo inawezekana alimaanisha Kinana kaenda India kwa ziara ya kikazi na akiwa huko atapata matibabu ya kinachomsumbua.
Kavurugwa....Samahani jamani nimekumbuka usemi usemao "Muongo Mzuri ni Yule Anae kijua Anachokidanganya" ....
Kwa angalizo tu, hivi unawezaje au inakuwaje au ndio kivipi yaani kumtuma mtu matibabu nje ya nchi?
Sijaelewa yani how 'n why ... eti unamtuma mtu matibabu ... Ha ha ha ha haaaa ... uongo mwingine bana ni kujidharaulusha tu jamani Argh!!! Ptwa!!! UCHAFU TU!!!
Yaani kamtuma amletee dawa, au kapeleka dawa, au aende akitibiwe ... yaani sijaelewa yani au akalete dawa yaaani kanivuruga ujue!!!
Anyway kuna tetesi za karibu na uhakika kua Mzee Kinana yupo hajakwenda popote
Ishu ya Bashite ilianza kama utani lakini angalia tulipofika Leo, laiti kama ingekua ilitatuliwa mwanzoni leo hii tusingefikia hapa mpaka mawaziri kubadilishwa, kuvamia vituo vya radio, kuonyehana bastola hadharani, kuchukiwa kwa vyombo vya habari. Nyie mnaona ishu ndogo but time goes on inazidi kukua. Mdharau mwiba.......? Unaweza kumsima A.Sen atakufundisha nini maana ya developmentNdugu yangu hata Hitler na ukatili wake alikuwa anakubali changamoto kutoka kwa wasaidizi wake.
Cha kukubali kwangu mimi na wewe ni kwamba Tanzania inathamini kwenye udaku wa kipuuzi kuliko habari positive za kimaendeleo.
Wanakuja wamorocco, waturuki na watu wa mataifa mengine mengi tu kwa ajili ya kufaidika na kile tulichojaliwa lakini sisi kwa ujumla wetu suala la bashite ni la muhimu kuliko mijadala mipana ya kimaendeleo.
JK alitulea vibaya sana kwa kutupa uhuru ambao hata wendawazimu wa mirembe hawawezi kupewa.
Otherwise, go lick his bahookie....
Si Señor..Oh my, is it so? Thanx brother!!!
Mkuu jiulize kwanini Bashite hajatumbuliwa mpaka leo hii.Ishu ya Bashite ilianza kama utani lakini angalia tulipofika Leo, laiti kama ingekua ilitatuliwa mwanzoni leo hii tusingefikia hapa mpaka mawaziri kubadilishwa, kuvamia vituo vya radio, kuonyehana bastola hadharani, kuchukiwa kwa vyombo vya habari. Nyie mnaona ishu ndogo but time goes on inazidi kukua. Mdharau mwiba.......? Unaweza kumsima A.Sen atakufundisha nini maana ya development
Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt Harisson Mwakyembe huku Palamaganda Kabudi akiiziba nafasi yake anapotoka.
Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakisha nchi zao.
===========
Mawaziri Dkt Harisson Mwakyembe na Palamaganda Kabudi wameshaapa, wanaoapa kwa sasa ni mabalozi wanaonda kuwakilisha katika nchi mbalimbali.
======
Anaeongea kwa sasa ni Rais Magufuli na kuwapongeza wote walioteuliwa. Amewaambia wasitegemee mazuri sana kwa kazi huwa zina lawama hasa kwa Tanzania ambapo kuna grupu la watu wao siku zote ni kulalamika.
Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu.