mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Amesha sema hapangiwi huelewi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko anakokunanga hakuna TRA? Na kama wapo na wanakusanya mapato toka kwa hao anaowananga basi hafai kuwa Rais wa hii nchi.
Ndiyo maana ata hao TADEA,CHADEMA, CUF wote awalipi kodi kabisa....ILANI ya ccm inatekelezwa na wana CCM,,, ukimchagua mbunge wa chama cha Jahazi Asilia au Tadea basi atatekeleza ILANI ya chama chake
Ndiyo maana ata hao TADEA,CHADEMA, CUF wote awalipi kodi kabisa....ILANI ya ccm inatekelezwa na wana CCM,,, ukimchagua mbunge wa chama cha Jahazi Asilia au Tadea basi atatekeleza ILANI ya chama chake
Mtu akishakuwa mtu wa kubagua hata kikiwa chama kimoja ataanza kuangalia waliompa kura nyingi na chache.Bora abadili katiba tuwe na chama kimoja tu Cha siasa.
Kuna haja ya kujua matumizi sahihi ya kodi zetu tunazotoaItoshe tu kumpongeza aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kwa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mkoa wa Iringa pale Igumbilo.
Kama mchungaji Msigwa angezembea kama Bwege wa Kilwa pengine stendi ingekuwa bado ni ile ya zamani pale mjini makorongoni.
Najua mchango mkubwa wa RC Happi na DC Kasesela lakini pia naheshimu ushirikiano wa mbunge.
Maendeleo hayana vyama!
Kashindwa kumfukuza lugola toka ile kesi ya rushwa kwenye kamati ya bunge,bdae kampa uwaziri napo akaharibu....jamaa alitakiwa kua mirembe kitamboAmesema wachaguliwe watu ambao anaweza kuwawajibisha wakifanya ndivyo sivyo hata kuwafukuza kwenye Chama
Pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi si Hisani za CCM iweje CCM watake kuchaguliwa ndipo wapeleke maendeleo? huo ni wizi wa pesa za eneo husika hawawezi kulipa kodi kisha pesa zao zikatumike sehemu ingine kisa waliyemchagua siyo wa CCM hii ni dharau kubwaDu kwahiyo ili tupate maendeleo ni lazima tuchague wabunge wa CCM.
Hii kauli imewaudhi wananchi sana ndiyo maana walikaa kimya hawakushangiliaJPM ana-behave zaidi kama Mwenyekiti wa CCM badala ya Rais na hili sio sawa. Sasa tutasikia tukiambiwa tumemwelewa vibaya, amenukuliwa vibaya nk.
Ana hasira za kusema na JK jana??
ILANI ya ccm inatekelezwa na wana CCM,,, ukimchagua mbunge wa chama cha Jahazi Asilia au Tadea basi atatekeleza ILANI ya chama chake