Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒ
Acheni Jamaa Mtafanya Watu Wapandishe Sukari
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€daaaaah
 

Kwa wakatoliki wa kawaida hili linaweza kuwa sio shida sana kwa kuwa hata wakipeleka misaada magerezani hupeleka kwa wafungwa bila kuwabagua tofauti na walokole ambao hupeleka kwa walokole wenzao.

Lakini ikumbukwe pia Yesu alipokuja aliwaponya Wasamalia ambao walikuwa hawachangamani na wayahudi refer to yule mkoma aliyerudi kumshukuru Yesu luka 17:11-19 na yule mwanamke Msamalia aliye mlilia Yesu amponye binti yake Mathayo 15:27.

Lakini mwisho wa siku wakristo tunaamini kila mtu kaumbwa kwa mfano wa MUNGU. Ila lililokubwa rais anasimama kama mfalme anamamlaka zaidi kwa taifa lake na anaweza kufanya hivyo kwa nafasi yake. yeye anachunga wote waislamu na wakristo.

Ndo maana akiwepo kanisani taratibu za kanisa zikifuatwa vizuri rais hufukizwa ubani tofauti na waumini wengine.
 
Nashukuru kwa maoni yako, lakini tumefundishwa ukatoliki unafungamana na madhehebu ya Kiprotestanti pekee. Ndo maana mtoto akibatizwa Katoliki hana haja ya kubatizwa tena akihamia Lutheran. Miili yetu ni hekalu la Bwana, imani yetu imejengwa juu ya Kristo na Kanisa lake alilomkabidhi Mtume Petro. Leo Katoliki inashiriki kujenga Hekalu la Mungu mwingine? Paroko wangu nadhani analo la kunijibu.
 
teh.teh.. binafsi pia ilinistua lakini nilivyokuja kuiona nafasi ya rais kama kiongozi wa nchi nikakubali hata hivyo jamaa ni risk taker mkubwa Mkapa alishiriki kujenga msikiti kimyakimya watu wamejua baadaye sana.
 
Bwashee kama kawaida yako unachekea tumboni.
Hahahaaaa....... Huyu Daudi Mchambuzi anachanganya michango na sadaka.

Mwaka 2015 Chadema mkiwa na Lowassa na yule Mbatia mliwaimbisha waislamu nyimbo ya Tenzi za Rohoni " Bwana U sehemu Yangu".....nadhani Daudi amesahau!
 
Yah ila tenzi ni jambo moja, kimsingi mchango unaotokea madhabahuni ni aina ya sadaka ikitolewa madhabahuni ama kwingineko.

Kwa anaye elewa maana ya 'madhabahu' hilo jambo ni 'zito' kweli kweli, nakazia kwa anaye elewa lakini.
Hahahaaaa....... Huyu Daudi Mchambuzi anachanganya michango na sadaka.

Mwaka 2015 Chadema mkiwa na Lowassa na yule Mbatia mliwaimbisha waislamu nyimbo ya Tenzi za Rohoni " Bwana U sehemu Yangu".....nadhani Daudi amesahau!
 
Na Rais kila anapoingia ibadani kupewa MIC, sijui hii kanuni ni ya wapi kwa kweli
 
Sio wote,sema hao
 
Nacheka kama mazuri vile! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kweli ujinga na ushamba ni mzigo mzito, Mungu anaangalia Nia ya mtu sio hawa wanaofanya mbele ya makamera
Safi sana, majitu yanayomtukana Mungu yaaibike na kudharauliwa. Jitu linabeza Mungu kuliponya Taifa na Korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…